Recent content by Lakabu

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama mwanaume unaweza kukaa siku nzima bila kupokea meseji ya " mambo" basi jua kuna kitu kina miss kwenye maisha yako

    Ukishapokea hizo meseji ndio nini? Upuuzi TU.
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama una miaka 30, tayari umetumia nusu yako nyepesi na sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha

    Wakati huwo Bora azae TU kuepusha jam.,vilevile kama mtu ana muda wa kufanya jambo la muhimu katika maisha yake,Bora alifanye,usisubiri umri Fulani ndiyo ulifanye maana mambo yanabadilika sana.
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nje na Tendo la ndoa ni kitu gani mwanamke anatoa kwa familia?

    Sasa hawo watoto wanawapataje bila mwanaume? Tukubaliane kwamba Kila mmoja wetu awe Mume/Mke wote wanategemeana ili kuendeleza kizazi,lakini hakuna ambae ni muhimu zaidi ya mwingine katika Hilo
  4. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Member Anayejiita Chief Godlove ni mzima kweli au atakuwa na tatizo?

    Jamaa anafikiri hii ni Tik tok.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ni aibu jitu zima kuwa masikini halafu mtoto kama mimi nina pesa

    Hapo ndio mwisho wako wa kufikiri?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ni aibu jitu zima kuwa masikini halafu mtoto kama mimi nina pesa

    Masikini ni wewe unaelazimisha watu wajuwe kama una Hela,debe t upu haliachi kupiga kelele, Sasa wewe una ela gani ?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ni aibu jitu zima kuwa masikini halafu mtoto kama mimi nina pesa

    Huyajui mafanikio Bado,endelea kukuwa ndio utajuwa kwamba ulichonacho ni Cha kawaida sana.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Huwa siwaelewi kabisa Wanaume wanaofuatilia tamthilia za Kikorea

    Maisha ni yangu.
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simwelewi huyu mwanamke

    Ndoa ni changamoto sana,Bora anakununia na anakupikia na Huduma zote unapata,labda humkaza vizuri...maana ukitoka asubuhi yeye anawaza utarudi saa ngapi umkaze!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

    Maisha ni yangu,iwaje Sasa upange namna nitakavyoishi?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nikiweka sakafu haitaleta shida?

    Kusanya nguvu uezeke kwanza.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Trump atangaza kutoshiriki tena midahalo ya urais

    Trump kabanwa maji shingoni.
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

    Usiangalie nyuma Ndugu,hiyo dharau aliyokuonesha inatosha.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha familia yetu kubarikiwa na kuwa na maisha mazuri

    Unataka kutuambia watu wote kwenye nyumba za Ibada hawajui na hawatendi Matendo ya huruma? mafanikio Yana uwanja mpana kuyaeleza,Kwa sababu mafanikio Kila mtu anayo baadhi ya mambo anayoyaita mafanikio, lakini Kwa mtu mwingine yakawa mambo ya kawaida TU.
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinisaliti nimebeba mimba ya mwanaume mwingine ananiambia niitoe ili anioe

    Acha kuchezea uhai,usitoe hiyo mimba,na huyo mwanaume anaekuambia uitoe mimba achana nae TU ,hakutakii mema.
Back
Top Bottom