Recent content by laizera

  1. L

    Ratiba ya Utoaji heshima za Mwisho na kuaga mwili wa Alfonce Mawazo

    Kwani wewe umeelewa ulichoandika?
  2. L

    Ratiba ya Utoaji heshima za Mwisho na kuaga mwili wa Alfonce Mawazo

    Tumia akili iliyoko katikati ya masikio kufikiri na siyo akili iliyoko chini ya mgongo. Kama huna cha kusema cha maana. Kaa kimya
  3. L

    Ratiba ya Utoaji heshima za Mwisho na kuaga mwili wa Alfonce Mawazo

    Majebere kuwa na ka ustaarabu kadogo. Tumia kichwa kufikiri unachosema
  4. L

    Ufaransa wanaua watu Syria Dunia imekaa kimya

    Walibya walihadaiwa na wasyria wakahadaiwa. Sijui walidhani huyu mzungu anawapenda. Hebu ona mateso wanayoyapata sasa
  5. L

    Ufaransa wanaua watu Syria Dunia imekaa kimya

    Watu mnashabikia wafaransa ni waume zenu? Wafaransa ni wavamizi wa Libya na Syria. Kwanini wasingewaacha walibya na wasyria wayamalize wenyewe? Halafu tangu lini ndege za kiivita zikachagua magaidi tu na kuwaacha wananchi wa kawaida. Tukubaliane tu kuwa hawatuthamini
  6. L

    Spika Job Ndugai, Naibu Spika Tulia Akson Mwansasu, lazima UKAWA wanyooke

    Inasikitisha kwa wananchi wa kawaida kuona upinzani kama maadui na dawa yao ni kuwanyoosha. Amini usiamini wote wanaouchukia upinzani kuna namna moja au nyingine wananufaika binafsi kwa ccm kuwa madarakani. Hivyo hoja zao mara nyingi zimejaa chuki
  7. L

    Naomba ushauri, naenda UK

    Safari njema kamanda. Umepewa guidelines za kutoshs
Back
Top Bottom