Recent content by Laiguanan

  1. Laiguanan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

    poa mkuu kama unasema sio kweli nayokuambia. uchangiaji mwema.
  2. Laiguanan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

    wote tunahatarisha ndoa ila mwanamke una nafasi kubwa saana ya kuhatarisha ndoa yako. sababu kuu ni. -mfumo dume -namna tunavyoishi ndani ya nyumba zetu -asili yenu takwimu zinaonyesha kati ya wanaume kumi wanaochepuka basi 2 uchepukaji wao huathiri na kusababisha ndoa kuvunjika pindi wake...
  3. Laiguanan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

    Sasa mkuu unadhani hao wanaochepuka na hawajaachika hawahatarishi ndoa zao?
  4. Laiguanan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

    Huyu bibie anaihatarisha zaidi ndoa yake kuliko huyo mwanamme mzee baba. hata hili halihitaji kuwaza saana.
  5. Laiguanan

    JamiiForums Tanzania Demu wako au mke wako analiwa Kwa style ile ile ambayo we unawala wake za watu au mademu za watu.

    wanaume mnaowala wake za watu (zetu) mnajiamini vibaya saana.
  6. Laiguanan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    umepatia
  7. Laiguanan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    JF ingekuwa mtu ingeshasema nimechoka.
  8. Laiguanan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

    wewe kachepuke... unaomba ushauri unachelewa kwanza.
  9. Laiguanan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

    mbona unanizungusha sasa
  10. Laiguanan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapenda mwanamke yupi, anaekubali haraka au atakaekuzungusha kwa muda flani ?

    Nimekufia yna4. upendo wangu kwako ni zaidi nitakayokueleza... nipe nafasi ndani ya moyo wako.
  11. Laiguanan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapenda mwanamke yupi, anaekubali haraka au atakaekuzungusha kwa muda flani ?

    nipe jibu langu sasa..nasubiri hapa.
  12. Laiguanan

    JamiiForums Tanzania Natokwa na mvi kwenye ndevu bado mdogo

    haha
  13. Laiguanan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuchepuka, njooni mnishauri

    Chepuka mrembo.
  14. Laiguanan

    JamiiForums Tanzania HOW MANY GALAXIES IN UNIVERSE?

    Wataalamu wanasema Universe is infinite... unakimbia zaidi ya kasi ya mwanga.fikiria kasi ya mwanga?? kila kukicha sayari..nyota na makorokoro yanazidi kuzalishwa. sasa najiuliza nje ya universe kuna nini? hiyo nafasi inatoka wapi? kwanini iwe infinite???
  15. Laiguanan

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson akashifu wanawake wavaa hijab

    Sikuelewi hata.....
Back
Top Bottom