Musoma vijijini kuna watangaza nia ya ubunge kwa sasa wamefika zaidi ya 7 na katika hao Mbura ndo amekuwa mstari wa mbele kuijenga chama.ingawa kuna Boniface Maggesa ambye naye anajaribu ila kutokana na mkazi yake ya Kazi kuwa mbali amekuwa mgumu kufika ila michango amekuwa anatoa.
Nyerere ni mkazi wa bweri tena nyumba yake ipo njia kuu kwenda shule ya parom naye sema anaishi mkendo.huyo sio mkazi wa musoma.pia kumbuka chadema musoma mjini walikuwa na viti viwili tu katika uchaguzi wa 2009.uchaguzi uliopita dec 2014 wameongeza na kufikisha 29 zilikuwa 31 ila ccm...
Eng Mbura Chiragwile ametangaza nia ya kugombea ubunge musoma vijijini 2015 kupitia Chadema jimbo analotoka Nimrod Mkono.Mbura amekuwa mstari wa mbele kuhakisha Chadema inatambulika Musoma vijijini na katika uchaguzi uliopita kuwa juhudi zake yeye pamoja na mbunge wa musoma mjini napia...
Mbunge wa Musoma mjini kamanda Vincent Nyerere napia mwenye kiti wa Chadema mkoa wa Mara leo amefanya mkutano wakupongeza wanainchi waliojitokeza kupiga kura ya serikali za mitaa pia kuwatambulisha wenyeviti wote na wajumbe wao waliochaguliwa siku ya tarhe 14 mwaka jana december.kesho anaendelea...
Kamanda Vincent leo ameshukuru wana Musoma mjini waliojitokeza kupiga kura katika uchaguzi wa serikali ya mitaa katika viwanja vya shule ya msingi Mkendo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.