Lai Otieno
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 311
- 90
Mbunge wa Musoma mjini kamanda Vincent Nyerere napia mwenye kiti wa Chadema mkoa wa Mara leo amefanya mkutano wakupongeza wanainchi waliojitokeza kupiga kura ya serikali za mitaa pia kuwatambulisha wenyeviti wote na wajumbe wao waliochaguliwa siku ya tarhe 14 mwaka jana december.kesho anaendelea na ziara ya kupongeza wanainchi katika wilaya mbali mbali mkoa wa Mara..