Recent content by lahabi

  1. L

    Imani hii kulikoni?

    Hivi ni kweli wamekuwa hawapendwi, wananyanyapaliwa, wananyanyaswa, wanatengwa duniani kote? Ama ni asili tu ya imani wanayoiamini?!! Kwani mahali pote duniani penye migogoro watu hawa wapo, kulikoni?!!!. Binafsi naamini peponi watakuwepo wale tu wenye sifa miongoni mwa hizi: wapenda...
  2. L

    Utatuzi wa uvunaji wa gesi Mtwara bado kitendawili. Chanzo ni nini?

    Hongera sana mkubwa kwa upembuzi wako yakinifu inaonekana unaongea mambo unayoyafahamu kwa kina.
  3. L

    Naumwa, mnaonipenda niombeeni dua.

    AMINA. ndugu tutakuwa pamoja nawe katika mombi.
  4. L

    Kigugumizi (Stuttering): Chanzo na Tiba kwa watu wazima na watoto

    Usiwe na shaka sana ndugu hali hiyo inawezakwisha automatically, nami ni muathirka wa hili... Nakumbuka nikiwa mdogo binamu yangu wa kike alikuwa ni mzuri kwa umbo pia alikuwa na kigugumizi na aliongea kwa mkato mkato. Mie kwa akili za utoto nikavutiwa sana na hali ile. Nikaiga kila alivyokuwa...
  5. L

    Ugumba kwa Wanaume

    Ukosefu wa mbegu za kiume/zero sperm count/azoospermia unaotokana na uwiano usio sahihi wa vichocheo hasa ule unaosababishwa na kiwango kikubwa cha kichocheo cha FSH kuliko kile cha LH na Testestorone, hot tubes nk nini chanzo chake? Je, kwa level yetu ya tiba kitaifa inawezekana kurekebishika...
  6. L

    Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

    Ndugu issue si imani uliyozaliwa nayo, bali imani sahihi yenye kufuata amri za MUNGU ndani ya BIBLIA TAKATIFU na imani ya YESU pekee. Kumb. mzazi hata beba dhambi ya mtoto wala mtoto dhambi ya mzazi. Take it mr/mis/ms
  7. L

    Tabora yangu Tabora

    Dahh hivyo vyote ndo vilikuwa viwanja vyetu miaka hiyoooooo, tukitoka shule la wanaume MILAMBO. Tunakula chocho sokoni,mwinyi,kanyenye,game reserve, quarter za jeshi,national housing haoooo. Umenikumbusha sana mkubwa. Nasikia game reserve kwishine!!!!!
  8. L

    Tabora yangu Tabora

    Mzembe, mpuuzi, mshamba sana wewe(mimi si mzaliwa wa mji huu) bali nimeishi na kusoma MBOKA MANYEMA na jamaa zangu wengi wapo hapo, huu tendei haki kwa kuwa na mdomo mchafu kiasi hicho kwa interest zako tu. Laumu viongozi wa nchi kwa kutokuendeleza mji badala ya mji wenyewe. SHAME ON...
  9. L

    Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

    poleni sana wafuata watu makanisani badala ya MUUMBA wenu. Bwana atakaporudi mawinguni siku hiyo utakuwa wapi? na huyo nduguyo?
  10. L

    Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

    Kwa hili binafsi namuunga mkono, kwani serikali hii siku zote imekuwa ina kawaida ya kukurupuka ktk maamuzi mazito kwa majibu mepesi kisha kugundua makosa yao na kisha kuyasahihisha.mf.hili la kidato cha iv serikari baada ya kutambua ufaulu mbaya hapo kabla walipaswa kukaa chini na wadau wa...
  11. L

    Uchafu wa st.john university adharani.

    Uko sahihi kabisa mkuu, huku makazini tunao graduates wenye vyeti vizuri lakini utendaji wao kazi katu haulandani kabisa na vyeti vyao!! Hawajiamini, uandishi wa barua tu wenyewe kazi(kiswahili/kiingereza), wavivu balaa, kutaka maisha ya hali ya juu nk .Naamini hawa ni miongoni mwa hao sexual...
  12. L

    Magazeti Habari Corp Yameanza Kumjenga Lowassa na Kubomoa CHADEMA!

    Hivi hawa ccm wanazani watz bado wanagirbiwa kias hicho? mbona hata watoto wadogo wantambua mambo yote machafu yanayotokea nchini nk ccm yuko nyuma yke. Acheni hizooo kudhoofisha upinzani kw hila, fanyen hivyo kw kujenga na kuboresha mifumo y maisha kw watz na si kama ilivyo hivi sasa...
  13. L

    Magazeti Habari Corp Yameanza Kumjenga Lowassa na Kubomoa CHADEMA!

    Hawa ni mapandkizi(shonza,mwapamba nk) wanaotumiw na ccm na hata kama baadae wataonekana wamedhuliwa itakuwa ni mojawapo y mikakat yao. Joyce n mwanamke w kawaida kabsa japo anajimake kulingana na nafas aliyonayo. Kuna watot wazur hawajajimake lkin wanalingana kwa hivyo alivyo hvi sasa.
  14. L

  15. L

Back
Top Bottom