Hata kama hujui ila c unaamin kuwa watu walishafanya? Ni Yale Yale kushare kawaida madem hawaishiwi skendo na sisi ndo tunawatengenezea skendo ispokuwa Lesbian tu
Huwa mtu akipost kitu cha kijinga au cha uchochezi kweny media namchukia sana, muwe mnafanya ufuatiliaji kidogo Lowassa kaenda misiba mingi na karibu yote kazuiwa sasa aende kufanya nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.