Nina watoto ndugu, kuanzia Baba, Babu, Bibi, Mama na Baba wadogo wote ni mwamba kwenye malezi. Watoto wakikosea wanawarekebisha hata nisipokuwepo na nikirudi naelezwa. Huyo baba hata kama mtoto sio wake, ana uwezo wa kumpa maelekezo mtoto kwa njia itakayokuwa receptive kwa mtoto, ya kumjenga...
nimecheka! sasa kama unaogopa kutolewa kafara mbona its too late! atleast umefanya ya maana. Anyway, wengine wanahitaji mtu wa kuongea nae tu, kila mtu ana stress, wanawake tutaongea na shosti, bff, mama, ma'mdogo, dada, binamu au hata kuongea na Doctor ukipenda. Ila kwa upande wa wanaume kwa...
nimesikitika kuachishwa kwako kazi ila hongera kwasababu huwezi kujua huo mzunguko wa maradhi uliyoyaepuka! kitendo ulichofanya unaweza kukuta umechangua kuishi huru kuliko kuishi kwenye kifungo cha maisha. Stay blessed!
Nishawahi kusikia Husbands wanawatafutia wake zao Kungwi, unamlipa kungwi na kumwambia matatizo ya mkeo, yeye atamuita na kumfunda unayotaka ajue. Ni wazo tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.