Recent content by LadyJanja

  1. LadyJanja

    Nina degree ya Mass Communication, natafuta kazi

    Thank you so much.. Nashukuru kwa ushauri na maarifa pia. Be blessed..
  2. LadyJanja

    Nina degree ya Mass Communication, natafuta kazi

    Habari wana jf...mi ni msichana nna 27yrs nina degree ya mass communication. .natafuta kazi hata kama isiyoendana na professional yangu sababu nimeshafanya kazi ya customer service that was my last job..pia nimefanya kazi ya data entry .. kwa kuanza sichagui aina ya kazi coz najua safari moja...
  3. LadyJanja

    Ulishawahi kuta Mpenzi wako Kakusave Jina baya kwenye Simu yake?

    Ahahahahhaa aiseeee nimechekaa eti huogopi kung'atwaa
  4. LadyJanja

    Ulishawahi kuta Mpenzi wako Kakusave Jina baya kwenye Simu yake?

    Hahahhaa yan acha tuu..namuuliza kwann umenisave jina la ukoo ananiambia ndo kalizoea hvoo afuu anajiuma jiuma na kujichekeshaa..yan nilitaman kumzabuaaa nilikua nimemsave jina zurii ila kwa hasira nikabadilisha nikamsave emergency hahahhaha
  5. LadyJanja

    Ulishawahi kuta Mpenzi wako Kakusave Jina baya kwenye Simu yake?

    Hahahahahah yan mie niliseviwa jina la ukoo wangu wakati mi mwanamke jaman..mapenzi haya
  6. LadyJanja

    PM zangu zimejaaa

    Duuuuh be blessed
  7. LadyJanja

    PM zangu zimejaaa

    Tatizo umesoma comments na zimekupa hasira ya bure ndo maana umeniambia haya...ila mi sitakumind hebie sema tuu nasikitika hata ww pia umenipa za uso 😂😂😂😂😂 bila kuelewa huo ni utani au kweli...ila fresh haina noma.
  8. LadyJanja

    PM zangu zimejaaa

    Kati ya wote humu art usijifunze kua hater na ww plz
  9. LadyJanja

    PM zangu zimejaaa

    Siku ukinijua live utatengua kauli yako..siku njema
  10. LadyJanja

    PM zangu zimejaaa

    Mbona umepanic vepeee...unadaiwa au? Huoni kama inakugharimu kuongea maneno yote hayo kwa mtu usiemjua...hivi una akili kweli 😂😂😂😂
  11. LadyJanja

    PM zangu zimejaaa

    Endelea kushangaa unaweza kupata jibu la swali lako.
  12. LadyJanja

    PM zangu zimejaaa

    Are u serious? Au ni usingizi
  13. LadyJanja

    PM zangu zimejaaa

    Brenda am very ready tena more than serious. .ila usisome comments zikakuchanganya..my thread is ok i wrote it just for fun..ila pipoz wameexagurate mpaka imeonekana kama big ishu..like seriously watu wangap wanataniana humu an it is ok with them sema sababu nimeandika abt pm imekua...
  14. LadyJanja

    PM zangu zimejaaa

    Kuandika tuu hujui sasa nikikujibu si ntakua nakuonea...maana unaweza pia ukawa hujui kusoma..
Back
Top Bottom