LadyJanja
Senior Member
- Nov 28, 2015
- 101
- 48
Habari wana jf...mi ni msichana nna 27yrs nina degree ya mass communication. .natafuta kazi hata kama isiyoendana na professional yangu sababu nimeshafanya kazi ya customer service that was my last job..pia nimefanya kazi ya data entry .. kwa kuanza sichagui aina ya kazi coz najua safari moja huanzisha ingine.mungu akijalia..naishi tegeta dar es salaam ila pia naweza kufanha kazi mikoani pia nikipata chance.kama kuna mtu ana idea ya opportunity yoyote tunaweza kuchekiana kwa PM..thank you