Recent content by ladyjamila

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi Chopa 12 Lowassa kampeni ya toroka uje?

    kuuliza si ujinga, ila kwasababu umeonyesha dhahiri we ni UKAHAWA....sikushangai...tutakubishia 25 october. mtakapoamua kupaki nyumbani hizo chopa zenu.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi Chopa 12 Lowassa kampeni ya toroka uje?

    Sehemu wanazofika ni chache, ikumbukwe Magufuli anaenda kila jimbo kura zilipo....je wewe ulassa huku usipofika kura zao hutaki? kura moja sio muhimu? si una hizo ndege babu? bado unachoka? au ndo unasubiri tuseme utuue? #achatufe
  3. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuhutubia kwenye viwanja vya Mwembeyanga ni dhihaka kwa wapinga ufisadi nchini

    Nimekuelewa sana kijana, lakini swali linakuja, ni bora nibakie nimedumaa akili yangu na Uccm wangu au niwe mjinga nimeze matapishi yangu mwenyewe? CCM hamna mtu ambae angeitaka mwaka huu kama tungekua na the right candidate wa kumpatia nchi yetu, Lowassa ni zaidi ya upuuzi uliofanywa na CCM...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    CDM-SOLD. mjadala ufungwe tu yaani. au kama veep tuendelee october 25 mtaona
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    wanatakulazimisha moja kuwa mbili.....na tunashukuru vile wametufumbua macho kwamba hawana maana
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Alikotoa hizo hela za kumnunulia Mbowe umewaza? atazilipaje kwa mfano? kataa #uzezeta kijana
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    anajitoa akili....ulofa umemuingia deep
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    hilo hapo kwenye kona...tushaliona kabisa
  9. L

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    SISI NA CCM, CCM NA SISI.....MAGUFULI NA SIE, SIE NA MAGUFULI. Nchi yako baba Pumzika usubiri kuapishwa tu.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    CCM ni Baba na mama, me sioni unabisha nini? ukiwa kuleeeee. #hapakazitu.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kufanya mahojiano na Tido Mhando Azam Two kesho Jumapili saa 3 asubuhi

    hahaha, unasumbuka wewe unaingia kuona Slaa amebadili msimamo wa wangapy...ujue kama umebakia lofa peke yako.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kufanya mahojiano na Tido Mhando Azam Two kesho Jumapili saa 3 asubuhi

    Babu namkubali sana....ni ukweli mpaka wanyooke....mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia ulipitwa na wakati. CDM is dead for sure.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tathimini: Siku 10 za kampeni ya Dr. John Magufuli

    Tanzania yetu iko Salama ndani ya mikono ya Magufuli. USHINDI ni LAZIMA
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tathimini: Siku 10 za kampeni ya Dr. John Magufuli

    TandaleOne Pole baba Kwa kazi nzito...Nina imani na na wewe sanaaa...Kazi unaiweza. Hongera sanaaaa
  15. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ukumbi wa Hyatt Regency: Frederick Sumaye atangaza nia kugombea Urais

    hivi mbatia siku hizi ni msemaji wa chademaaammkmm????
Back
Top Bottom