Nikwambie tu ukweli wewe ni mtoto wa kiume ni aibu sana kuongea vitu usivyokua na uhakika navyo hata kwa asilimia 1
Umenikwaza sana nikwambie tu ukweli
Sijui lengo ni nini kuanza kuandika vitu visivyo na ukweli hata kidogo
Morning!
Mimi ni mwanamke wa miaka 28, kama binadamu inawezekana nina mapungufu yangu lakini matukio niliyopitia kwenye mahusiano yamenifanya kuwa mnyonge na kukata sana tamaa ingawa sitamani kabisa maisha ya u single.
Sina uhakika kama huku naweza pata mwanaume atakae nielewa na kuthamini...
Hahaa nimejikuta nimecheka ila pole mkaka, huyo dada inawezekana hajakua na hajawahi kukutana na mauza uza kwenye mahusiano
Utapata tu wa kufanana na wewe huyo hakuwahi kukupenda
Habari
Mimi ni msichana, nimekuja hapa kutafuta nafasi yoyote ya kazi iliyo halali au itayokayoendana na fani
Kielimu nina Degree ya Elimu ya watu wazima na Maendeleo ya jamii ( Bachelor of Education in Adult Eduation and Community Development)
Nimehitimu chuo 2013 na baada ya hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.