Mgahawa unaitwa upcountry Kitchen taste upo mweka - Kilimanjaro , unatangaza nafasi za kazi kwa wahudumu na wapishi wa kike.
Waombaji wawe wakazi wa Kilimanjaro , awe msafi, anayejituma, anayejitambua, wenye uzoefu watapewa kipaumbele.
Maombi yatumwe kupitia whatsapp namba 0752808396 , ujumbe...