Nafasi za kazi kwenye mgahawa

Nafasi za kazi kwenye mgahawa

ladybutterfly

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
216
Reaction score
60
Mgahawa unaitwa upcountry Kitchen taste upo mweka - Kilimanjaro , unatangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa kike.

Muombaji awe msafi, anayejituma, anayejitambua, wenye uzoefu watapewa kipaumbele.

Maombi yatumwe kupitia whatsapp namba 0752808396 , ujumbe uelezee wasifu wa muombaji pamoja na picha yake full.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom