Recent content by Lady Whistledown

  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mbunge wako ni nani? Unampa ngapi kati ya 10 kwa maendeleo aliyokuletea?

    Wakuu, Huko X kuna mjadala unaendelea umenivutia nimeona niwaletee huku Swali ni hili, Mbunge wako wa sasa ni nani, na kwa kipindi alichopo madarakani, unampa alama ngapi kati ya 10 kulingana na maendeleo ya kweli aliyoyafanya kwenye jimbo lako? Karibuni
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Anayetaka huduma za VIP alipie! Sio apewe kisa ameoa au kuolewa na Mbunge

    Wakuu, Hapa Majuzi Mbunge Musukuma alisema Bungeni kuwa wenza wa Wabunge wawe wanaruhusiwa kukaa VIP kama wenza wao. Nimependa hoja ya Mzee wa Kaliua (Oscar oscar) kwamba kila anayetaka ViP basi alipie, kwasababu tukiruhusu tu wenza kupata huduma hiyo, basi ipo Siku watoto wao na wajukuu wao...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kesho Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 inasomwa Bungeni; Je, itagusa maisha ya Watanzania au tutaletewa tozo mpya?

    Kesho ni siku muhimu sana kwa nchi yetu! Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 inasomwa bungeni, na kila mmoja anasubiri kwa hamu kujua nini kimejumuishwa. Hii inafuatia kauli ya Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapo Mjengoni Kutatua Shida Zao au za Wananchi?

    Wakuu, Nakubaliana na hii hoja ya Oscar Oscar Ni kweli kabisa kwamba mijadala ya Bunge letu mara nyingi huibua maswali kuhusu vipaumbele vya Waheshimiwa Wabunge. Lengo kuu la mbunge linapaswa kuwa kutimiza ahadi alizotoa kwa wapiga kura wake na kuwakilisha sauti zao, siyo kutafuta fursa za...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Mbeya: Mnaotaka kugombea CCM acheni vitendo vya ukatili na roho mbaya

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, Patrick Mwalunenge amewataka wanachama wa CCM kuwa waadilifu na kuepuka rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025. Mwalunenge ameyasema hayo hivi karibuni katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyoboreshwa...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanajua Wajibu wao Bungeni? Huyu kawaombea makoti askari wa Mbeya

    Wakuu! Ni jambo la kusikitisha kuona jinsi ambavyo baadhi ya wabunge wetu bado hawajafahamu vizuri majukumu yao ya msingi kama wawakilishi wa wananchi. Katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia changamoto nyingi kama ukosefu wa ajira, mfumuko wa bei, ubovu wa miundombinu, huduma duni za afya...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rwanda Kujitoa ECCAS

    Rwanda quits Central African bloc in dispute with Congo Rwanda has said it would withdraw from the Economic Community of Central African States (ECCAS), underscoring diplomatic tensions in the region over an offensive this year by Rwanda-backed M23 rebels in eastern Congo. Kigali had expected...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Aliyemshambulia mwenzie kisa Mwijaku akosa dhamana, atupwa mahabusu

    Mmoja kati ya wanafunzi watatu kutoka vyuo vikuu tofauti tofauti jijini Dar es Salaam, waliodaiwa kumshambulia mwenzao wakimgombania msanii na mtangazaji wa vipindi vya redio, Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku, ameswekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana katika kesi ya jinai inayomkabili na...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Profesa Mkenda: Mtoto wa waziri kupata mkopo wa elimu ni wizi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema mtoto wa waziri au katibu mkuu wa wizara kupata mkopo unaotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni wizi kwakua kitendo hicho kinawanyima fursa wanaostahili. Prof...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mtu aliacha Shule Darasa la 2 anataka kuwa Mbunge? Tutafakari vigezo vya kugombea Ubunge

    Juzi aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, alinukuliwa akisema: “Mtu aliacha shule darasa la pili anataka kuwa mbunge? Mtu asiyejua hata neno moja la Kiingereza awe mwakilishi wa wananchi?” Hii kauli imeibua mjadala mpana kuhusu sifa za msingi zinazopaswa kumfanya mtu astahili kuwa...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mrema: G-55 imekufa rasmi, haipo tena!

    Kutoka akaunti ya X ya Jon Mrema Salaam, kwa kuwa kundi Sogozi la G -55 limekufa rasmi na halipo tena , naomba kuwatangazia rasmi kuwa Usemaji wangu kwenye Kundi hilo umekoma rasmi . Hivyo basi , kama kuna jambo lolote litakalotumia jina la Kundi hilo ieleweke kuwa ni watu watakuwa wanataka...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Matiko apendekeza Gen-Z wa Kenya Wakamatwe

    "Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge ashangazwa Martha Karua kurudishwa Kenya akiwa salama

    "Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua awataka Wananchi kuwasusia Wasanii Wakikuyu walioshiriki Kikao cha Serikali

    Gachagua amesema hatua hiyo ni Usaliti kwa Jamii yao hivyo kuwataka watu kutosikiliza Nyimbo zao, kuwa "unfollow" kwenye Mitandao ya Kijamii na kutowaalika kutumbuiza katika matamasha na vilabu vya Starehe hadi watakapoomba radhi Amesema "Wamelipwa Elfu Hamsini kila mmoja (Takriban Tsh. Milioni...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO

    Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Uchaguzi huo umefanyika leo, Jumapili Mei 18, 2025, huko Geneva, Uswisi. Prof. Janabi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk...
Back
Top Bottom