Recent content by lady maloe

  1. L

    JamiiForums Tanzania Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

    kwa walochaguliw vyuo vya goverment certificate ya nursing mmepata joining instruction jaman?naomba mnijuze tafadhal
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    naomben kwa yeyot ambae ameshakomfem nina swal la kuulza plz nchek Msaada wenu plz
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    aliekomfirm plz aniambie profle yake ipoje?au ameandikiwa nn?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    em naomben mxaada,nlijarbu kukofirm kwny websit ikawa kam imezngu iv..ckuielewa bt leo najarb inanfnglia mwanzon kabixa
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    shukran kwa mwanzlsh wa uzi huu pamoja na wachangiaj, asanten, hata mm nmenufaika xana kwa kwel,nciwe mchoyo wa fadhila
  6. L

    JamiiForums Tanzania Muwe makini sana, yamenikuta

    wakat unasubr monca akupigie ww hukumpigia kwann??hil n changa la jicho
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    yeyot alochaguliwa kondoa School of nursing tutaftane
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    thanx, kdogo tumain limerud tena
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    nashukur nliangaik nlikuwa naweka paswd na email ileile lakin ndo ivo tena...bt nmefanikiwa leo bt cha ajabu nmekuta tar ya kuzaliwa ipo tofaut yan n tumbo joto tu apa celew kinachoendelea afu capacity o zipo 2 na nyngne imeandikw 28 mawazo yenu plz yan n roho pwii pwii...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    kwan kulog in na2mia email au n majina?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    nlshawah ifungua at once, mda mfupi afta registration
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    wadau xamahann m naomba mnxaidie kujua jnsi ya kufungua profile maana kila nkijarbu inashndkana,cjui nakoxea au la..!
  13. L

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    samahan, naomba kujua jins ya kufngua profl lang mana kila nikijarb kuweka user name&paswod nlizo2miwa necta haifunguk
Back
Top Bottom