Recent content by LADY H

  1. LADY H

    Nimemshitukia mke wangu

    hahahahah
  2. LADY H

    Nahisi nakataliwa na mabinti wazuri kisa nikitambulisha mimi mwalimu

    hiv hadi umemaliza chuo huna demu tuu, duuu!! mtafute mwanafunzi mwenzio mlomaliza nae chuo maana bado sio walimu, akikataa njoo kwangu ila mimi ni mbaya ila mpunga ninao wa kutosha
  3. LADY H

    Nimetongoza miaka mitatu sijaona ndani

    kama hutaki kuoa unajisumbua bure, wanaotaka kuoa wamekubaliwa! we kula ugali tu kwa picha ya samaki
  4. LADY H

    Ukiniacha Nakuloga

    eti kabinti, mbona li dushe lako lilifanya kaz ? hiv hata hiyo round ya kwanza alivumiliaje na hilo li mctu daaa!
  5. LADY H

    Ukiniacha Nakuloga

    nlikuwa nimenuna lkn nimecheka ghafla
  6. LADY H

    Wanawake hapa nimeshindwa kuwasoma

    inategemea ni wapi, kama ni baa lazima achelewe maana c unajua akiwahi mhudumu akija anataka hela kwanza ndo akalete kinywaj, so lazm kujivuta ATM itangulie
  7. LADY H

    Mpenzi wa kaka simuelewi

    thatha kwa nn ackaribie hapo anaingia chumbani?
  8. LADY H

    Mpenzi wa kaka simuelewi

    nyumba yenu haina sitting room nn? hadi aingie chumbani kwako
  9. LADY H

    Imeniuma sana hii kitu

    we ulishatupa ngapi unazokojolea watoto wa watu hovyo
  10. LADY H

    Wadada makwapa hayo

    lkn mwish wa siku ndo wanatutafuta kututongoza jamn
  11. LADY H

    Tokea nimeoa kina dada wananitaka

    umenichekesha kweli eti ukajaribu kuwatongoza, kwa hiyo walikubali wangapi?
  12. LADY H

    Namchukia mume wangu kwa sababu amenifanya niwe malaya

    ampige chini tu aendelee na maisha yake
Back
Top Bottom