Recent content by Lady doctor

  1. Lady doctor

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio baadhi ya wanaJF na tabia zao halisi

    hahahahaahahaa cousin me umaarufu ulishakwisha longtime sahivi ni kama mgeni tu humu lol!
  2. Lady doctor

    JamiiForums Tanzania Happy birthday ICHANA

    mwenza hao dawa yao ni kujaza mipilipili utaona hata kijiko hawamalizi lol! shansarie atakuwa kalala ngoja nikammwagie maji ya baridi
  3. Lady doctor

    JamiiForums Tanzania Happy birthday ICHANA

    happy birthday ICHANA .......... kachumbari ipi mwenza? maana zipo za aina mbili:violin:
  4. Lady doctor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    hapana aisee....... mambo kama hayo si lazima uonje ila nilifanya reseach kwa baadhi ya wadada nikaona niitupie hewani na ndio maana nikaandika SI WOTE.
  5. Lady doctor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    kila mtu ana style yake yakupenda na hata wanaume ni vivyo hivyo anaweza akavutiwa na kitu kidogo sana kwa mwanamke at the end of the day unashangaa wako pamoja wanakulana:tape2:
  6. Lady doctor

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya Serikali, CCM na Kanisa Katoliki Tanzania.

    :behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::confused2::confused2:
  7. Lady doctor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutongoza wanawake walioolewa ni rahisi kuliko wasioolewa

    mla vya watu na vyake huliwa
  8. Lady doctor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    hahahahahahaa hilo nalo neno
  9. Lady doctor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    asante ODILI SAMALU
  10. Lady doctor

    JamiiForums Tanzania Haya Mambo Huwezi Kuwa Umepitia kama Umezaliwa Baada ya Mwaka 90...

    Kudalikana au kuagana wakati ukiachana na rafiki yako kwa kumpiga kibao "Kidali po"
  11. Lady doctor

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mechi ya leo usiku

    mmmmmh
  12. Lady doctor

    JamiiForums Tanzania Zawadi za sikukuu kwa mlio na wapenzi tu

    Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea!!
  13. Lady doctor

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa, ungepata dakika chache za kuzungumza na Mh. Rais Kikwete

    Ningemshauri wale wanaotuhumiwa kwa ufisadi wafilisiwe ndio kujiuzulu ifuate.
  14. Lady doctor

    JamiiForums Tanzania Nimemiss daddy yangu watu8

    yaani nilivyokuona tu nikapona ghafla..... Haina haja yakumeza tena dawa kaka
  15. Lady doctor

    JamiiForums Tanzania Nimemiss daddy yangu watu8

    kaka nimekumiss sana hadi naumwa....
Back
Top Bottom