siyo kweli mkuu haifiki ata laki mbili na hawana ata posho kama kweli serikali ikidhamiria kuwasaidia ndugu zetu ambao hawakupata nafasi ya kupata ajira iangalie maslahi yao siyo mazuri kabsa nna mdogo wangu yupo Suma kipato ni kidogo mno
Lakini hata hao Suma Jkt wanvolipwa ni pesa ndogo mno nna mdogo wangu yupo Suma Jkt kipato chao hakifiki hata laki mbili kama ikiwa ni hivyo itakuwa ni sahihi kwa vijana wetu wa Jkt angalau kushikwa mkono kwa namna hiyo,ila masilahi yao bado si ya kulidhisha ukilinganisha na makampun mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.