Kamati ya Nidhamu ya TFF imemfutia adhabu msemaji wa Simba, Haji Manara

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Kamati ya nidhamu TFF imemuachia huru mkuu wa kitengo cha Habari Simba Manara sasa kuendelea na majukumu yake.
IMG_20170717_133959.jpg
 
Kamati ya nidhamu TFF imemuachia huru mkuu wa kitengo cha Habari Simba Manara sasa kuendelea na majukumu yake.
View attachment 544409
Imetumia vigezo gani vya kumsamehe...waache kuleta Siasa za ukabila na uzandiki kweney michezo...huyu jamaa ana mdomo mchafu hakustahili kufunguliwa...najua wamefanya hivyo kuukuomoa uongozi uliopita...
 
alikata rufaa amesikilizwa. Manara amepeleka ushaihidi ya kile alichoongea hatimaye kamati ya nidhamu imejiridhisha na tuhuma zilizoelekezwa kwa malinzi.
 
Hahahahahahaaa This Is Simba Bwanaaaa Hawa Jamaa Hawajawahi Kutufunga Popote Kwa Fair Game Narudia Tena Hawajawahi Na Hawatatufunga Kwa Fair Game! Umeona Aina Ya Magoli Yao Umeona Magoli Yetu Tumefunga Vipi!
 
Abadirike sasa na aache kulialia kila wakati! Anapenda mipasho kila wakati! Hata hivyo kwa sasa wenzao wameajiri msemaji ambaye si wa kariba hiyo! Naamini na yeye Manara atajifunza kitu kutoka kwa Dismas

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom