Alishasema yeye na mwenda zake ni WAMOJA.
Last year mwenda zake alitumia hela za serikali kuwajengea maRais wastaafu nyumba mpya na hakuna aliyehoji hilo jambo,hivi kikwete anaweza kuwa na shida ya nyumba kweli?????????
Pia last year mwenda zake aliwapa marais wastaafu nyumba,hakuna aliyehoji hilo jambo,
aligawa hela kila kona hakuna aliyehoji matumizi mabaya ya fedha.
Mama kazi IENDELEE.
Mkuu umemaliza uzi👍👍👍
Mwenda zake alikuwa na v8 karibu 100 magari ya matangazo na ya ulinzi.plus hela alizokuwa anagawa njiani.
Trip moja ya mwendazake ni sawa na trip zaidi ya 20 za Mama.
Swali zuri sana kiti chema
"Mla vya wenziwe na vyake uliwa"
So far sijapenda vile alivyo transparent ukiunganisha dot unaweza mjuwa mwanamke aliyemla,siyo msiri!!
Unaweza ukawa na wazo zuri labda utufafanulie kidogo,unataka TANESCO ndo wapate faida au mwananchi asiye na uwezo wa kununua umeme ndo AFAIDIKE NA MKOPO??
Kumbuka huduma ya sasa ni "pre paid" hivyo TANESCO wanapata fedha nyingi sana kwa kukaa na fedha zetu tulizonunulia unit ambazo bado...
Mkuu huyo PM presentation yake ndo hakuiweka sawa,ukweli ni kuwa mwendazake alishakuwa ametoa order na advance,hivyo hawakuwa na namna ya ku cancel hiyo order!!
Ila am sure siku zikiletwa hakutakuwa na ule ujinga wa kushinda airport kusubiri kupokea ndege🤔🤔
Jamani mbona Mbowe kaweka clear kabisa hilo!!!?
It was strategically kuforwad barua kwenye email binafsi badala ya ile ya kampuni,na ulikuwa ni mpango maalum wa kumfilisi.
*Ni kichaa pekee anayeweza kutuma email kwa mtu ambayo Tanzania nzima inajuwa yupo segerea na kukaa kusubiria majibu...
Poleni wananchi wa huko,nilimsikia naibu waziri wiki iliyopita akiizunhumzia hiyo barabara ila aliongea KISIASA kuwa barabara zote zitajengwa ila kwa utaratibu wa moja baada ya nyingine,zamu yenu unaweza kuwa 2045.
Stand haipo kwenye hifadhi ya barabara isipokuwa ili mabasi kutoka kituoni ni LAZIMA yatasababisha foleni,anachoelezea CAG ni kuwa wakati wa ramani ya mradi wa njia 8 hakukukuwa na hiyo plan ya stand kuwa hapo ilipo hivyo imeleta MWINGILIANO,yamkini kama kwenye ramani wangeambiwa wangejuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.