Recent content by Labongemozes

  1. Labongemozes

    Vipaumbele Bajeti 2019/20: SGR, Stiegler's Gorge, Mishahara, Posho na Kuhudumia Deni la Taifa.

    Nak Wewe upo kama mimi tu,Nataka kujua DOOO litaongezeka au litabaki lile lilee
  2. Labongemozes

    Bajeti 2019/20: Nywele bandia zawekewa ushuru, Leseni za udereva Tsh. 70,000 kwa miaka 5. Taulo za kike zafutiwa msamaha wa kodi VAT

    Kwenye Lesen papo fresh ila kuja kuipata maana RTO, VEHICLE nao siku hizi wanahitaji mirungura sana
  3. Labongemozes

    Bajeti 2019/20: Nywele bandia zawekewa ushuru, Leseni za udereva Tsh. 70,000 kwa miaka 5. Taulo za kike zafutiwa msamaha wa kodi VAT

    Sijaelewa kwa mtumishi wa umma hii bajeti kama ataongezewa ama laaaah.Lakini hapo kwenye nywele angeweka na kucha maana zinzpendwa siyo mchezo
  4. Labongemozes

    Wale wanaokula wake za watu, piteni hapa mpate funzo

    Wataalamu wa kiswahili cha siku hizi wanakwambia KUMLA JICHO
  5. Labongemozes

    Hodiii huku

    Ajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Habariii ya Jf........
  6. Labongemozes

    Jamani naomba kuelekezwa kuhusu kujiunga laboratory technician

    Naomba kujuzwa hivi NACTE Wameshaanza kutoa ACADEMIC TRANSICRIPT Za diploma 2015/2017 Maana nimeaplly tangu mwaka jana mwezi wa 12 mpaka sasa bado sijajaziwa kitu. Kwa mwenye ufahamu juu ya hilo pleas maelezo.
  7. Labongemozes

    Jamani naomba kuelekezwa kuhusu kujiunga laboratory technician

    Nacte hivi wameanza kutoa ACADEMIC TRANSCRIPT ZA DIPLOMA YA MWAKA 2015/2017 Au bado???
Back
Top Bottom