Recent content by Laboma

  1. L

    Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi amebadilisha Upepo wa Siasa za Tanzania!

    Majority of Tanzanians need Mwabukusification of their Nation.. Now!
  2. L

    TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme

    'Preventive Maintenance Schedule' isipotekelezwa kwa Wakati tatizo hili halikwepeki
  3. L

    John Heche: Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na Dubai

    Mgawanyo wa ruzuku unawahusu wao Chadema.. Mkataba kati ya DP World na Tanzania unahusu wananchi na hatma ya nchi yao..
  4. L

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    "Nitasema KWELI daima FITINA kwangu mwiko"
  5. L

    China yakana kuuza nyama ya binadamu Afrika

    Stori za kijiweni zenye uhakika.. wanakula nyama ya binadamu
  6. L

    China yakana kuuza nyama ya binadamu Afrika

    Humuhumu duniani..
  7. L

    Je, mke wangu ana tabia ya kujichua?

    Ww.. tuko bize na vipengele vya mkataba wa Bandari..mambo ya vi**mi tena?
  8. L

    China yakana kuuza nyama ya binadamu Afrika

    Si ya kitoto... wanakula nyama ya binadamu hao
  9. L

    Arusha: Walimu wote wa Serikali watakiwa kujitokeza uwanjani kesho Sheikh Amri Abeid kumpokea na kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM

    Kama vile hadhi ya Waalimu imeshuka kuliko ya Wanafunzi wao.. ndio sababu mojawapo ya morali yao ya kazi kushuka sana..
  10. L

    Kigogo wa Benki ya NMB Arusha, mbaroni kwa kulawiti mwanafunzi na kumweka kinyumba, alikuwa akilipa fadhila ya kumsomesha

    George Kifaruka anastahili kuozea jela maisha.. hafai kubaki kwenye jamii
  11. L

    Wakili Mwabukusi: Polisi wanaweza kutufunga Pingu Mikono na Miguu lakini hawawezi kufunga pingu akili zetu!

    Nitajielemisha kwa kadri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote... Rushwa ni adui wa Haki... Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja..
  12. L

    Pesa ya Hongo/Rushwa/Dili ni tamu usipotakiwa uirudishe

    Things are really falling apart... si shawari kabisa[emoji1787]
  13. L

    RC Mongella: Bangi ya Arusha ndio kali zaidi kuliko zote Duniani

    Napendekeza mjadala wa kitaifa kuhusu kuruhusu ulimaji na matumizi ya mmea wa Bangi kama zao la biashara kwa matumizi ya dawa (medicinal purposes) na matumizi mengine mengi. Nchi nyingi 'zimeshalegalize' mmea huu zikiwemo baadhi katika bara letu la Africa. Tuwaulize na kuthibitisha faida za...
Back
Top Bottom