Recent content by Labista

  1. Labista

    Nahitaji kiwanja

    Mkuu naweza kupata contact? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Labista

    Paypal account Tanzania tunasubiri nini?

    World remit is the best Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Labista

    Karibu ujenge nyumba ya ndoto yako kwa bei nafuu

    Mkuu me naomba kujua gharama ya kujenga vyumba ya room 3 kali, Ukubwa wa eneo ni 40 kwa 20, Maeneo ya Mbezi
  4. Labista

    Nataka kuanza kulima, natafuta ekari 10. Nauza pia PC 4 kwa milioni 1.1

    Kompyuta ni brand gani mkuu? Unaweza kuuza moja?
  5. Labista

    Plot4Rent Tunauza Mashamba na Viwanja

    Mkuu kwema? Plot bado ipo?
  6. Labista

    Plot4Rent Tunauza Mashamba na Viwanja

    Mkuu kwema? Plot bado ipo?
  7. Labista

    Shamba na miti vimauzwa

    Haupo hewani mkuu, Nimekuchek WhatsApp na normal text, Nimepiga pia namba haipatikani.
  8. Labista

    Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

    Kaka binafsi nakusifu kwa uthubutu na utayari, Umeelezea vizuri na kwa kifupi, Nakutakia kila la kheri Bila shaka utapata mdau sahihi wa kukamilisha hili.
  9. Labista

    Shamba na miti vimauzwa

    Bei inaendaje mkuu? Miti ina umri gani? Ukifanikiwa kuweka na picha itapendeza zaidi
  10. Labista

    Hard Drive 1T inauzwa

    70 ipo mkuu kama inakulipa tufanye biashara.
  11. Labista

    Movies za Africa

    Unaweza kunisaidia majina mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Labista

    Movies za Africa

    Asante sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Labista

    Movies za Africa

    Habari zenu wana jamvi, Kwa yeyote anayejua majina ya movies hasa za kuhusu africa(za kivita au mapinduzi) naomba anisaidie tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Labista

    Pata DSTV Premium channels kwa kisumbuzi maalum bila malipo ya mwezi

    Anapatikana wapi huyo kiumbe? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom