Shamba na miti vimauzwa

Naomba uweke umri wa hiyo miti pamoja na bei, na kama utaweza sema ipo kijiji gani
 
Bei inaendaje mkuu?
Miti ina umri gani?
Ukifanikiwa kuweka na picha itapendeza zaidi
Hii ni yakuchana mbao,picha za ya kufuga naleta
IMG_20190521_101302.jpeg
IMG_20190521_101212.jpeg
 
Back
Top Bottom