Habari,
Nauza askirimu za ubuyu kwa moja moja na jumla kwa wale wasio na muda wa kutengeneza, bei nafuu utachagua wewe uuze bei gani.
Ni tamu na laini pia zimetengenezwa kwenye mazingira masafi kuna pure ubuyu bila flavour, vanilla flavour na passion flavour pia kuna zenye rangi na bila rangi...
Outdated news indeed ...Ndege ilianza route June 13 jioni,ilifanya mwanza-dar vyema kabisa..Meaning ilikuwa ground for only 6 days na sio miezi kama mnavyodanganyana...Na ratiba zimerejea kama kawaida hakuna usumbufu wa aina yoyote lie.. Niwahakikishie kuwa Bombadier Q400 zote mbili kipo mzigoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.