Recent content by Labani og

  1. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Kuna muhindi kasema alitaka kununua uwanja Dar kaambiwa 300million .....anasema Dar viwanja ni bei kuliko US
  2. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Daaah iyo ilikuwa safi Tasnia imevamiwa
  3. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Daaah iyo ilikuwa safi sana
  4. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Hii ndo bongo
  5. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Mmezidi bana😂
  6. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Pesa wanachukua sawa na wenye mali
  7. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Hawa wanajiita mawinga
  8. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Jamaa wazinguaji
  9. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Jamaa wazinguaji sana
  10. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Pesa za laana 😂
  11. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Jamaa wanafanya maisha yawe magumu sana
  12. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Basi hili ni la kuangaliwa Kwa umakini
  13. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Sheria itakosa nguvu .....since yanakua ni makubaliano baina ya watu wawili
  14. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Dawa ni kumtafuta mmiliki
  15. Labani og

    JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Hawa mabroka wamekuwa taabu sana. Nakumbuka kuna jamaa yangu aliambiwa kiwanja 15M na dalali akaenda angalia kiwanja. Ile anatoka pa mama mwenye kiwanja akamwita jamaa yangu akamsalimia kwa kisukuma af akamwambia utarudi maana asingeweza mwambia make alikuwa na madalali baadae akaenda kumwona...
Back
Top Bottom