Recent content by La Princesa

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ninatamani iwepo sheria ya kulazimisha watu kuitwa kwa majina yao ya asili ya makabila yao badala ya haya ya kizungu na kiarabu

    Mi ningekuwa waziri ningepeleka muswada kabisa..tunaua identity zetu kabisa..waafrika wenzetu wanajitahidi especially Wanigeria,Ghana,Sudan,SA
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tuambizane: Madalali (stock brokers) wa Soko la Hisa Dar (DSE) ambao wanafaa na wasiofaa

    Hivi kuna athari gani endapo nchi itaruhusu kununua hisa bila kutumia madalali?msinifokee lakini nna dose ya malaria halafu ni last born nielewesheni polepole
  3. L

    JamiiForums Tanzania Watanganyika bado mnataka Muungano eh? Someni hapa chini?

    Mwinyi asili yake ni bara
  4. L

    JamiiForums Tanzania Pole pole livestream ina 6.5k current watching viewers wakati aliko mkuu wa nchi kuna 12viewers. Hii vita ni kali sana 😂

    Mimi nilikuwa Instagram live ya Polepole tulikuwa viewers 8 elfu 9
  5. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dagaa kutoka ziwa victoria mkoani ni fursa jamani

    We uko wapi?mimi bado ni mjasiriamali mchanga huwa nachukulia Kayenze ndogo wale wa leo leo,natamani kufika level ya magunia na nipate soko mostly Dar es Salaam
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

    Mdogo wangu, ukweli mchungu ni huu,kama ni mtu anayekuelewa ama mnaeendana, utatimiza, ila kama hamuendani SAHAU.dadako nilikuwa na ndoto za kuwa mwanasiasa zilizimwa ziii
  7. L

    JamiiForums Tanzania Brand tano (5) zilopelekea bidhaa za kampuni nyingine kupewa jina hilo hilo tu, ya kwanza itakushtua, ya tano ya kitanzania

    Bila kutaja PAMPERS badala ya DIAPER uzi ni batili
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu anapewa airtime kubwa sana ITV kuliko Rais wa nchi? Serikali iwachunguze!

    We ni kapuuzi...Millard Ayo mbona hajampa Tundu Lisu hata sekunde 10 na anajisikia amani tu
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima, Job Ndugai naomba unisamehe!

    Bado haujasemaa 😁😁😁
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu za talaka nchi mbalimbali

    Aisee, taasisi ya ndoa inazidi kukanyagwa 😔Heko kwa wahindi
Back
Top Bottom