Recent content by kzba

  1. kzba

    Siku akitokea Rapa mkali kuliko FID Q naomba mnishtue

    Niki mbishi Yanglunya Msodoki Blue baisa
  2. kzba

    Ndugu zangu punguzeni umalaya utanishukuru baadae.

    Nimeachana na kuwa na wanawake hovyo ndani ya mwaka mmoja tu nimeweza kusave hela na kupata nyumba mbili moja iko tayari nyingine iko katika finishing.. umalaya unamaliza sana Hela aisee
  3. kzba

    Natakiwa kufuata taratibu zipi kwenda kujitambulisha kwa wachaga?

    Nilifanikiwa mkuu kwa milioni moja laki saba tu makila kitu, na nimepata kabinti tayari mkuu wangu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  4. kzba

    Kanisa kuu la MT. Patriki Morogoro ondoeni haya mapungufu

    Kwako Paroko, Mimi ni muumini wa kanisa tajwa hapo juu, na huwa nahudhuria misa takatifu kila jumapili , kuna baadhi ya mambo sioni kama yako sawa juu ya uendeshaji wa misa katika parokia hii. Kwanza, mwanzo wa misa kunakuwa na mlolongo wa matangazo ambayo hayana hata tija kwa maana ya kwamba...
  5. kzba

    Hivi kuna umuhimu gani wa kuwa na sherehe za ndoa?

    Mimi binafsi sijawahi kufurahia sherehe yeyote inayohusiana na mchakato mzima wa ndoa, iwe send off, ndoa yenyewe, hata reception, yan naona ni kupotezeana muda tu, mfano vile vikao sijui hata kama kuna kitu gani cha maana tunajadili pale zaidi kutamaniana na wanakamati na kuwapiga miti wake za...
  6. kzba

    Asikuambie Mtu kuhonga kuna raha Ndugu zangu

    Yan hapo ndo inKuwa raha iliopitiliza aisee
  7. kzba

    Asikuambie Mtu kuhonga kuna raha Ndugu zangu

    Ni vile tunaendekeza njaa na dhiki inayoambatana na ufinyu wa fikra na roho mbaya kwa viumbe hivi, ila kumfanyia jambo lenye mlengo wa kuhonga kwa mwanamke kuna raha aisee, kwanza ukishampatia kama pesa basi unajiskia burudani kabisa hata kama ni chache ,na inakuwa kama chachandu kwenye mapenzi...
  8. kzba

    Kipimo cha maendeleo ni kuwa na gari

    Fukara wewe
  9. kzba

    Kipimo cha maendeleo ni kuwa na gari

    Endelea na ujinga wako
  10. kzba

    Kipimo cha maendeleo ni kuwa na gari

    Endelea na ujinga wako
  11. kzba

    Kipimo cha maendeleo ni kuwa na gari

    Kawaida tu kumbuka siku nyingine inakuwaga full tank hiyo mzee, hiyo ilikuwa hali ya kupita tu
  12. kzba

    Kipimo cha maendeleo ni kuwa na gari

    Yale ni mapagale, wanaishi popo tu na manyigu
  13. kzba

    Kipimo cha maendeleo ni kuwa na gari

    Pambana mkuu, au njoo huku tupqmbane wote utilities hata screpa
  14. kzba

    Kipimo cha maendeleo ni kuwa na gari

    Hawakufanyi chochote we vuta mkwaju tu hata kama ni tu porte namba A urudishe heshima mtaani
  15. kzba

    Kipimo cha maendeleo ni kuwa na gari

    Baelezee hayo mafukara
Back
Top Bottom