Recent content by Kyungai

  1. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Foleni Challenge

    yeah maybe na waweke Departure kila town kuanzia posta mpaka tegeta nyuki, gongo la mboto na mbezi
  2. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Foleni Challenge

    all in all ngoja tuone yaliyopo ndani ya prroject lazima wataonyesha hii ni ripoti ya wazi haina maficho
  3. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Foleni Challenge

    Helicopter nani ataweza nauli zake kama mafuta yakipanda bei
  4. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Foleni Challenge

    Wizara ina kila kitu ila ilijaribu kuweka ushirikishwaji wa vijana katika maendeleo ya nchi
  5. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Foleni Challenge

    nashukuru kwa mchango kumbe na wewe pia unaona swala sio kuondoa ni kupunguza
  6. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la Wameru

    Leo nimepata kusikiliza chimbuko la kabila linalopatikana Arusha chini ya vilima vidogo vidogo chili ya Mlima mkuu Meru Asili Kabila hili limetoka katika milima ya usambara na kusogea katika mkoa wa kilimanjaro miaka 800 iliyopita ambapo kila walilpo pita waliacha alama, ambapo waliishi na...
  7. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Leo nilipata off kazini na nikawa napiga stori na dereva boda. Akanisimulia jinsi UKIMWI unatembea kimya kimya ila kwa kasi kwenye mji wetu. Inatisha!

    je jambo alilofanya kwa upande wako unahisi ni jambo sahii kwa wakati kama huo ?
  8. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Foleni Challenge

    Leo amepatikana mshindi wa Foleni challenge Dae es salaam, Je unahisi nini hasa kilichoandikwa ndai kilichoshawishi wizara nzima ya ujenzi ?
  9. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Wameru ni wakimbizi wa Kichaga

    Kikawaida hakuna wameru Tanzania, Meru ipo kenya ila baada ya ya WARWA kukimbia kutoka uchagani walienda chini ya mlima Meru hapo ndipo waliishi mda mrefu ndio wakaamua kujiita Wameru kwasababu wapo chini ya mlima Meru ila sio kwamba wao ni Wameru asili (my opinion)
  10. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Wameru ni wakimbizi wa Kichaga

    🤣🤣🤣Amekupa nini huyo mmeru mpaka unafikiria ivo
  11. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Wameru ni wakimbizi wa Kichaga

    WARWA inamaana zaidi ya moja yaani Waliopanda na Wameru(wengi)
  12. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Wameru ni wakimbizi wa Kichaga

    sio kweli kwasababu mambo yamebadilika kwa sasa
  13. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kigoma inaenda kuunganisha na gridi ya Taifa

    ni muda mrefu sana Kigoma ilikua nyuma hivi inamaanisha hizo generator zilikua zikiwekwa mafuta miaka yote tangu uhuru wa nchi
  14. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Wameru ni wakimbizi wa Kichaga

    Kwani wamashami wawee wandu wa kwi nuuri imanya kitaare waari ikumba subu murin(kimeru)
  15. Kyungai

    JamiiForums Tanzania Wameru ni wakimbizi wa Kichaga

    Hapo umenena mkuu vyakula ni kwel huwa tunakula hivyo kuhusu mjamzito ni kwel pia big up
Back
Top Bottom