Recent content by kyte

  1. K

    Jeshi la Polisi lakionya kikundi kinachohamasisha maandamano ya kuiangusha Serikali kwenye mtandao wa Telegram

    Daah,,umekosea kweli wewe. Yaani hizo nyimbo zako wenzako waliwaimbia watz zamaani ile mbaya we unazileta leo wakati zinasikilizwa na mazuzu kama kina matonya,,we unafikiri unaweza kuwaaminisha watz wa leo ambao ni waelewa kwa hiyo maneno yako ya kipimbi watz wa leo...
  2. K

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aruhusiwa kutoka hospitali

    Siku zote mwenyezi Mungu ni mwema kwa waja wake na huwa sikio lake ni sikivu na mkono wake pia ni mrefu ndio maana kile kinacholiliwa na wengi kwa huzuni na masikitiko ya dhati huwa anawasikia na kuwanyanyulia wamliliao kama anaeliliwa kafanyiwa kwa husda za watu na sio kwa mapenzi yake...
  3. K

    Tuliowahi kujamba ushuzi mkali wa kunuka kwenye halaiki ya wa tukutane hapa

    Huyu ni mwalimu wa kunyamba wallahi, hajambi huyu, huyu yy ananyamba tu kudadadeki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  4. K

    Kama hiki ndicho Lowassa alichoitiwa Ikulu, Then tuna Rais wa ajabu! Kama ni Uongo, Lowassa ashitakiwe kwa Uchochezi!

    Yupo anaepaita hivyo,,njaa haiwezi kumuacha mtu salama. Sijawahi kuona post ya mtu wa hovyo kama huyu anaeitwa Njaa huko kwa wakina hovyo hovyo fulani wanaojiona watakatifu kwa kukaa eti sehem takatifu. Yaani wewe Njaa umeleta andiko ambalo tayari umeshamuona fulani ni mdhambi na mwingine...
  5. K

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Huyu naee!! Kwani sketi yenye marinda inajifichaga,,?
  6. K

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Aah,,sa kama ni hivyo yangefikaje huku na ww,!?
  7. K

    Chadema sasa wanatumia mbinu za hatari kuingia IKULU

    Aisee,,hv kumbe shilawadu alitolewa mkuku na ng'ang'a kwa kipusa!!?? Daah,,umesema Makomeo kanyakua balon d'or,,!! Aisee,,na Bashiite nae kachukua ukuu wa mashoga,,!!?? Mkuu unatisha, umbea kakufundisha nanii,,!!??
  8. K

    Tofauti ya pole Kwa Lissu na wengine ni Twitter na Official document of Goverment

    Halafu dkk kadhaa anakuja kutembelewa anapewa pole yupo freesh kabisa na kumshukuru aliekuja kumpa pole,,. Risasi tatu za tumbo,,!!! Daah,,mapichapicha haya,,only in bongo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Kubenea amjibu Spika Ndugai, amwambia yuko Nairobi kushughulikia matibabu ya Lissu

    Hv liko wapi vilee,,!!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

    Halafu we jamaa buana unanifurahishaga unavyouliziaga kiukweliukweli,, shauri yako utaambiwa ukapimwe mkojo,, Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

    Zidane ndio rais wa tiefu efu,,Makomeo wamemosama,,Hulk Hogan anamiliki clouds fm ameshirikiana na Matonya kuinunua facebook na wamemtangaza Bashite kuwa presidaa wa mashoga Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

    Sijui ndio chapa kileevi,,!! Mi hata sielewi, lkn mi nahisi ndio huyohuyo em ulizauliza jina lake la pili Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

    Heeh,, hv huyu [emoji115] [emoji115] [emoji42] katoka wapi na yy,,!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

    Aisee,,ww jamaa unaona mbali,,kwani unafikiri si ndio kama inapangwa hv kuwa hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

    Kwa jinsi unavyoonyesha ww wamekwishakudadavua sana huo mtaro, yaani hapo marinda yote wameyadadavua hamna hata alama yaani mfereji full midadavuo kwa kuzibuliwa. Post zako tu mbona zinajieleza Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom