GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,326
- 4,247
Rais wangu magufuli kinachokuangusha ni akili na malengo tu ya wapinzani wako ila wewe ni kiongozi mzuri sana.
Pia wapinzani wako wakuu CHADEMA wanapiga miruzi mingi sana mpaka zinawapoteza unaowaongoza.
Personal interest za CHADEMA zinataka kulipeleka Taifa pabaya maana mbinu wanazotumia hivi sasa za kupambana na Magufuli ni mbinu hatari sana.
Lengo la chadema ni kuwajaza chuki wananchi juu yako na wakidhani kwamba ndiyo njia pekee itakayowasaidia kushika madaraka 2020.
CHADEMA hawana nia njema na wananchi wao bali wao wanachojali ni jinsi gani watafanikiwa kuingia ikulu hata kwa njia isiyo ya halali.
Ebu tazama njia na mbinu ambazo CHADEMA wanazotumi ili kupambana na Rais Magufuli.
1. Kumpachika jina Rais ambalo litajenga taswira mbaya kwa wananchi wako "dikteta uchwara", hii ni mbinu ambayo wamekuja nayo chadema kwa lengo la kukuchafua Rais na kukujengea taswira mbaya duniani kote. Hii ni hatari sana.
2. Kukuhusisha na tukio lililolmtokea Tundu Lisu, hivi sasa chadema wanatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha watu kuwa Rais Magufuli anahusika na jaribio la kutaka kumuua Tundu Lisu, wanajitahidi sana kujenga dhana kwamba Rais anamchukia Lisu kwa kiasi kwamba mpaka anataka kumuua Lisu. Nawaambia chadema tafuteni mbinu nyingine kwani mbinu hizi mnazotumia ni hatari sana kwa taifa letu. Tanzania ni yetu sote tushirikiane kwa pamoja kuitetea amani ya nchi yetu