HUDUMA KWA WATANZANIA KWENYE BALOZI ZETU ZA NJE YA NCHI NI TATIZO
Mfano ni ubalozi wa Uingereza: Customer service ni tatizo kuanzia mtu anayepokea simu pale reception, eneo la kuomba vibali vya kusafiria / kurenew passport n.k.
Nilibahatika kuwasiliana na watanzania wachache kuhusu zoezi la...
Waingereza wao wanafanya hivyi kuondokana na tatizo la watu wanaofanya kazi bila vibali. Ushauri wangu ni kuangalia jinsi ya kuwatoza faini kubwa haya makampuni yanayokaidi agizo la wizara. Ila pia kuwepo na task force ambayo itakua inaenda kwenye maeneo ambayo wanadhani kuna wafanyakazi...
Wapendwa wana Jamii Forum,
Naomba ushauri wenu kwa yeyote ambaye ana utaalamu wa kukadilia gharama za kuchimba kisima cha maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
Ni makampuni yapi yanaweza kufanya hii kazi kwa haraka na bila usumbufu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.