Recent content by kyoma kulala

  1. kyoma kulala

    CHADEMA kuongea na Vyombo vya Habari leo saa tano

    Zito alifukuzwa kitaambo hata kabla yauchaguzi serikali za mitaa, na bado chadema ilizoa viti kibao! Sasa hapo impact yakutimuliwa kwake iko wapi!
  2. kyoma kulala

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Huko nako atavuruga tu! Anadamu ya CCM huyo ndomaana bado lengo lake sikuiondoa CCM madarakani bali kuidhoodisha Chadema!
  3. kyoma kulala

    Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"

    Zito kafukuzwa Chadema! Hajang'atuka jamani! Mbona mnataka kumpamba sana huyu mtu?
  4. kyoma kulala

    Zitto apokelewa kifalme Kigoma na kukabidhi Ambulance

    Huku rorya tumekichagua ase make kilikidhi mashart yausajiri wa vyama vya siasa kama sheria inavosema!
  5. kyoma kulala

    Zitto apokelewa kifalme Kigoma na kukabidhi Ambulance

    Kama ni hivo mbona wanasema walimchagua yeye na sio chama? Au ndo sizitaki mbichi hizi! Teheteheee!
  6. kyoma kulala

    Zitto Kabwe, uwezo wako wa kisiasa katu hautakwisha kwa kuenguliwa, taifa linakuhitaji

    Taifa linamhitaji kila mtu! Ila Zito alihitajiwa zaidi na wasiolitakia mema taifa, wanaofikiria zaidi maslahi yao kuliko maslahi mapana ya taifa letu, sasa ameruhusiwa rasmi akawatumikie hao na si taifa! Zito go,go,gooo!
  7. kyoma kulala

    Ubaguzi unaendelea kuitafuna CHADEMA

    Mwanadiwani hoja ya ubaguzi ilishachuja labda muanzishe nyingine! Tangu muanze kuisema chadema imezidi kuenea hata ambako hatukutegemea kifupi hoja hio imezeeka bila hata mtoto!
  8. kyoma kulala

    Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

    Kama Angekuwa na impact kubwa katika uhai wa Chadema tungeona kwenye serikali za mitaa lakini chakushangaza ndo Chadema imepata viti vingi kuliko wakati akiwepo, kwa hio akwende zake kunguni mkubwa!
  9. kyoma kulala

    Lameck Airo amwaga matusi ya nguoni mkutanoni Rorya kwenye kampeni za S/Mitaa

    kwa nilichokishuhudia leo! kibajaji cha mtoto aseee!
  10. kyoma kulala

    Lameck Airo amwaga matusi ya nguoni mkutanoni Rorya kwenye kampeni za S/Mitaa

    mkuu niweke ushahidi kama upi? bahati mbaya sikuweza kumrekodi zaidi tu ya kupiga picha chopa lake namkutano kwa ujumla,ila alikuwa na waandishi wa habari ambao nadhani kwa maadili ya taaluma zao hawawezi yarusha hewani yale matusi!
  11. kyoma kulala

    Lameck Airo amwaga matusi ya nguoni mkutanoni Rorya kwenye kampeni za S/Mitaa

    Akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha nyihara katika kuwanadi wagombea wa nafasi mbalimbali wa chama cha mapinduzi,mheshimiwa mbunge Lakairo aliishia kutoa matusi ya nguoni kwa wananchi baada ya kuambiwa kuwa atimize ahadi zake alizowaahidi wakati wa kampeini mwaka 2010. Alisema...
  12. kyoma kulala

    Wajumbe Baraza Kuu CHADEMA wawalipua Mbowe na Slaa

    CHADEMA imekuwa ikikumbwa na misukosuko mingi hasa kadiri siku za uchaguzi zinavokaribia. kali zaidi ni hili la waliojitambulisha kama wajumbe wa kamati kuu ya chama nakutoa mlolongo wa kashfa kibao dhidi ya viongozi wakuu wa chama, ambazo kimsingi nimarudio na zilisha jibiwa, kama Mtanzania...
  13. kyoma kulala

    My perceptions: Know the failed evil plans of CHADEMA since 2010

    Duh! kama hio ndo heshima ya kitambi, basi leo umewadhalilisha wenye vitambi kwa hii thread! au wewe ndo Kpt Komba nini?
  14. kyoma kulala

    Nipeni ukweli wa hili enyi walimu wa Tz

    hio sms imesambaa toka mwezi machi! lakini hadi leo haina ukweli! tusubiri mwezi wa julai kitaeleweka tu! kama ilikuwa ni ya kutuliza watu tu ama?
  15. kyoma kulala

    Uchaguzi Jimbo la Kalenga: Vitus Lewa mwana wa Kalenga umma unakuhitaji!

    safi sana mheshimiwa LAWA! nakumbuka ulitangaza nia mapema kwamba 2015 uko ulingoni,ila ya Mungu mengi,kinyang,anyiro kimekuwa karibu,wana Kalenga mpeni kura Mwl LAWA atawawakilisha vyema!
Back
Top Bottom