Recent content by Kylor

  1. Kylor

    JamiiForums Tanzania Vijana msikubali kukaa kwa shemeji zenu kwa namna yoyote ile

    Aseee!!
  2. Kylor

    JamiiForums Tanzania Siasa za El nino : Hapo ulipo kuna mvua ,jua kali au upepo ?

    Mimi kwa upande wangu naona mvua za kuandaa mashamba
  3. Kylor

    JamiiForums Tanzania Connection ya Hermonize imeniharibia Nofap challenge yangu

    Yule sio konde boy kwa ile na mtetea konde ana tatoo tumbon na mikononi ila yule jamaa mkono mmoja hauna tatoo
  4. Kylor

    JamiiForums Tanzania Vita ya Intaneti Tanzania: Faiba vs. Ruta za Mchongo

    Ee tena wana gonga kama wenyej geti lina gongwa mpaka moyo una uma
  5. Kylor

    JamiiForums Tanzania Vita ya Intaneti Tanzania: Faiba vs. Ruta za Mchongo

    Kuna waya wame pitisha kwenye nguzo
  6. Kylor

    JamiiForums Tanzania KERO Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

    Acheni pia kuwaachia watoto wachezee kuna nyumba nilienda nika kuta watoto wame kogeuza mpira nika cheka nikasema bei yake hawaijui
  7. Kylor

    JamiiForums Tanzania Vita ya Intaneti Tanzania: Faiba vs. Ruta za Mchongo

    Goba uku wamejaa una hodishwa una sema mtu wa maana una amka una kuta kijana wa voda ana kwambia tuna unganisha WiFi duh
  8. Kylor

    JamiiForums Tanzania Tamu ni tamu!

    Nauliza tu
  9. Kylor

    JamiiForums Tanzania Tamu ni tamu!

    Ushawai lala na viatu?
  10. Kylor

    JamiiForums Tanzania Nipeni koneksheni wakuu, sitawaangusha.

    Nenda iringa kijiji kinaitwa idodi
  11. Kylor

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hali ipoje uko wazee 😩
  12. Kylor

    JamiiForums Tanzania Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

    Hatari
  13. Kylor

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dr. Mwigulu wasaidie wahadhiri na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Makumira walipwe mishahara yao, hao nao ni binadamu na ni watanzania, miezi 3?

    Karibia zote ukifanya nao kazi ndio ivyo waangalie wanao fanya kazi kwenye izo taasisi wengi maisha yao magumu sana
  14. Kylor

    JamiiForums Tanzania Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

    Na si ajabu aja wai ipanda ila kakaaa kawaza ivyo tu kaamaua ashushe uzi
Back
Top Bottom