Recent content by kyipya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

    Mabeberu na wanaotuonea husuda wameiandika na kuitangaza sana hii habari!Washington post, AFP,BBC.RFA,.Hapa kazi tu.Wahenga walisema mti wenye matunda hurushiwa mawe!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tukiacha siasa shule za kata kuwa kama St. Francis Girls Mbeya

    Tunapozungumza ukombozi wa mwanamke Tanzania,maranyingi masista husahaulika,ni kazi waliyoifanya miaka mingi,tuanze na St Mary(sasa Kilakala)Kiraeni,Kibosho wasichana..orodha ni ndefu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tukiacha siasa shule za kata kuwa kama St. Francis Girls Mbeya

    Ni kweli kabisa,angalia pia shule za Anwarite (Kilmanjoro) na Kifugiro (Tanga)ni za masista na zimeongoza kimkoa
  4. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Uongozi wa Shirikisho la viwanda Tanzania(CTI), unatangaza kifo cha Mkurugenzi wao Mstaafu, Hussein Kamote

    Mr Sengo, naibu meya Morogoro(mmiliki wa songo security)
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Komu kuongea na wanahabari kesho

    Tumshauri afanye hivyo!wapigwa kula wake watamshangilia kwa zumari na tarumbeta hadi nyumbani kwake
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili Coronavirus haidumu kwenye nchi za joto

    Joto linalozungumziwa ni kirusi cha corona kikiwa nje ya mwili wa host,binadamu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Kenya siku ya leo wamepunguza garama za kutuma na kupokea miamala kwenye simu na garama za kupiga simu kama njia ya kuwajengea wananchi uwezo dhidi ya CV 19.
  8. K

    JamiiForums Tanzania TB Joshua: Utabiri na nguvu ya Mwanadamu katika kuzuia kusudio la Mungu

    Nakumbuka ya babu wa Loliondo na wapigaramli elekezi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbatia LIVE Azam two...

    Hongera
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbatia LIVE Azam two...

    Kama ilivyokua chaguzi zote toka 1995 ?Wanavunjo wanafahamu faida ya mabadiliko.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Majengo marefu nchini yana faida kwa wananchi: NSSF or PSPF or GEPF

    Kutumia mabilioni kutengeneza kivutio cha utalii? MWENZI MUNGU alitupa nchi nzuri, tazama ramani mlima Kilimanjaro, Ngorongoro hadi,Serengeti.Labda unamaanisha utalii kuja kushangaa magorofa yanayotiririsha majitaka,kusabaisha msongamano wa watu ,magari na uchafuzi wa mazingira .
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ziara ya mgombea Urais wa CHADEMA mkoa wa Morogoro

    Mtihani std 7 utakua umechangia chaguo la huo uwanja.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ismail Jussa: Kwanini naunga mkono Lowassa Kukaribishwa UKAWA kuelekea uchaguzi Mkuu

    Mjadala mkubwa umezuka kuhusu mwelekeo wa ushirikiano wa vyama vikuu vya upinzani vinavyounda UKAWA na hatua ya kumkaribisha Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa, ili kushirikiana kuiondosha madarakani CCM pamoja na mfumo wake wa kikandamizaji na kifisadi ulioambatana na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Padri feki anaswa Morogoro!

    Tuwekeeni picha yake,kwenye magazeti,blogs sijaona
Back
Top Bottom