Recent content by kyenx

  1. K

    Jifunze kufanya meditation

    Arusha yuko mwalimu pia
  2. K

    Jifunze kufanya meditation

    Mbeya tunapatikana karbu na uwanja wa sokoine
  3. K

    Jifunze kufanya meditation

    Ni kweli unavyosema ndugu lkn elimu hii ya meditation huwez Kuidhaminisha kwa pesa yoyote kwa sababu ni zaidi ya hivyo na kikubwa faida inayopatikana kwa mtoaji ni yeye anapata kwa jinc anavyotoa na si vinginevyo hiyo ni sheria ya giving ukitaka upate lzm utoe kwa kile kidogo ulicho nacho ili...
  4. K

    Total station machine kwa ajili ya levelling

    Nauza total station used kwa bei poa kabisa M3.5 nicheki kwa 0717291832 kwa maelewano zaidi
  5. K

    Jifunze kufanya meditation

    Yah ni free kabsaaa maana hamna mwenye umiliki wa hii elimu hii kwanini huchaji hela wakt umeipata bureeeee?.
  6. K

    Jifunze kufanya meditation

    The path society ni jumuia ya walimu wa meditation waliojitolea kukufundisha kufanya meditation baada ya kuona kwa jinc gani jamii ya kitanzania inauhitaji wa meditation katika maisha yao Fanya maisha yako yawe na maana sana kwa kufanya meditation na uwe mtu bora na siyo bora mtu. Elimu hii...
  7. K

    Viwango vya TBS kwenye ukubwa wa matofali

    Hata mm ninahitaji kujua kuhusu paving blocks
  8. K

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Banda la chips minimum siyo chini ya mtaji wa laki 5 hapo ni pembeni na pango
  9. K

    TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia

    Wote ambao tunaanza kufanya kwa mara ya kwanza mawazo yanaingia kati kikumba usiweke akili yako kwenye mawazo lkn zingatia pumz na umakini wako uwe kwenye pumz inavyotoka na kuingia wazo lolote likija let it go na urejeshe umakini wako kwenye pumzi
  10. K

    TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia

    Ndugu usiwe ignorant kiasi hicho ku conclude vitu usivyo vijua hawa wanaozungumza wamefanya wewe unaonekana unaijua meditation sana kuliko mtu anaye practice wakt wewe hupractice anyway meditation is not about concepts or facts bt is action and practices
  11. K

    TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia

    Dah ndugu hiyo stage uliyo kuwa umefikia ni nzur sanaaa kujiisi uko empty ni realization kubwa sana keep it up
  12. K

    TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia

    Kwa kutumia akili ni ngumu kuilewa hata ukisoma vitabu vipi huwezi kuelewa bila ku practice hii ni practical siyo theory
  13. K

    TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia

    Ndugu keep on practicing meditation can do more than that
  14. K

    TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia

    Hapana siyo against na mungu kabisa tena na kwakishia meditation inakutransform na kukufanya uwe a Godly person kwa vitendo siyo kwa kuongea maana km utafanya jambo lolote baya kwa ndugu yako au kwa nafsi yako basi huwezi kuwa comfortable km una meditate
Back
Top Bottom