Jifunze kufanya meditation

kyenx

Member
May 9, 2014
20
15
The path society ni jumuia ya walimu wa meditation waliojitolea kukufundisha kufanya meditation baada ya kuona kwa jinc gani jamii ya kitanzania inauhitaji wa meditation katika maisha yao

Fanya maisha yako yawe na maana sana kwa kufanya meditation na uwe mtu bora na siyo bora mtu. Elimu hii inatolewa buree katika ubora

Unajua kwa nini dalai lama mwana phylosophia mkubwa alishawahi kusema km kila mtoto wa miaka kumi akifundishwa meditation bac tunaweza tukaondoa kabisa ukatili katika muungo mmoja hii ni kwa sababu ya nguvu za meditation
Kuna faida nyingi Sanaa za kufanya meditation ikiwa ni pamoja na kuongeza umakini kwa kukufanya uwe positive

Fika changombe maduka mawili madarasa ya meditation yanatolewa kwaanzia saa nane mchana kila jmoc kwa mawasiliano wasiliana na mwalimu charles 0715583859 au unaweza kunitafuta kwa namba 0717291832 ntakuelekeza vizurr
 
hamna kitu cha bure mjini hapa.
Tahajudi ni kitu kizuri sana mi nimejaribu kufanya na tofauti na anza kuona.
 
The path society ni jumuia ya walimu wa meditation waliojitolea kukufundisha kufanya meditation baada ya kuona kwa jinc gani jamii ya kitanzania inauhitaji wa meditation katika maisha yao

Fanya maisha yako yawe na maana sana kwa kufanya meditation na uwe mtu bora na siyo bora mtu. Elimu hii inatolewa buree katika ubora

Unajua kwa nini dalai lama mwana phylosophia mkubwa alishawahi kusema km kila mtoto wa miaka kumi akifundishwa meditation bac tunaweza tukaondoa kabisa ukatili katika muungo mmoja hii ni kwa sababu ya nguvu za meditation
Kuna faida nyingi Sanaa za kufanya meditation ikiwa ni pamoja na kuongeza umakini kwa kukufanya uwe positive

Fika changombe maduka mawili madarasa ya meditation yanatolewa kwaanzia saa nane mchana kila jmoc kwa mawasiliano wasiliana na mwalimu charles 0715583859 au unaweza kunitafuta kwa namba 0717291832 ntakuelekeza vizurr
Tulio mbali je tutaipaje hiyo elimu?
 
Yah ni free kabsaaa maana hamna mwenye umiliki wa hii elimu hii kwanini huchaji hela wakt umeipata bureeeee?.
UJAELEZA FAIDA ZAKE. UMEPITA JUU JUU. NIELeWAVYO Mimi hakuna kitu cha bure hapa duniani kuna gharama flan lazima kama sio kwa mpokeaji basi kwa mtoaji. Mnafaidika vipi kwa kugharamia hivyo vitu. KUWA MUWAZI
 
vipi tulio nje ya mikoa such as mbeya itakuaje, au ndo tumeshapoteza nafasi.
 
UJAELEZA FAIDA ZAKE. UMEPITA JUU JUU. NIELeWAVYO Mimi hakuna kitu cha bure hapa duniani kuna gharama flan lazima kama sio kwa mpokeaji basi kwa mtoaji. Mnafaidika vipi kwa kugharamia hivyo vitu. KUWA MUWAZI
Ni kweli unavyosema ndugu lkn elimu hii ya meditation huwez Kuidhaminisha kwa pesa yoyote kwa sababu ni zaidi ya hivyo na kikubwa faida inayopatikana kwa mtoaji ni yeye anapata kwa jinc anavyotoa na si vinginevyo hiyo ni sheria ya giving ukitaka upate lzm utoe kwa kile kidogo ulicho nacho ili upate kingine zaidi na ili meditation uione inapositive impact kwako lzm utoe hiyo elimu uliyo ipata na si kuing'ang'ania ili upate maujuzi zaidi
 
Meditation imenisaidia sana maana nilikuwa muoga hata kuangalia picha zakutisha naogopa ila nao nipo strong pia sina hasira tena
 
Kama ni bure..si ungeanzia hapa darasa ili watu wengi zaidi wanufaike kupitia wewe, vituo mlivyonavo sio rahisi kufikiwa na kila mtu"
 
Meditation imenisaidia sana maana nilikuwa muoga hata kuangalia picha zakutisha naogopa ila nao nipo strong pia sina hasira tena
Ulifanyaje mkuu maana ata mie hyo tabia ya hasira ts my weakness, nsaidie hata hatua za kufanya maana napenda hii k2 intoke!
 
Ni simple sana dowlod meditation capture utapata maelekezo hii kitu iko poa sana ina control hasira na hudhibit shinikizo la damu
 
Jihadjarini na hizi elimu zina madhara. Mnajua chanzo chake au mnashabikia tu? Mwisho mtajikuta mmevamiwa na mashetani. Tahadhari tafadhali.
 
Back
Top Bottom