Recent content by kyenjelakalulu

  1. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania Dalili kwamba umenenepa

    [QUOTE="Author, post: 29731644, member: Jamani......!!!!
  2. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania Profesa Mkilaha ajipiga risasi bahati mbaya na kufa wakati akisafisha bastola yake

    Kwani "rungu" siyo silaha mbona huwa linasafishwa na kusuuzwa....!?
  3. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania Nalia machozi na kuwaangukia tena watanzania wenzangu mnisaidie

    Write your reply...Kuna tofauti kati ya kazi na ajira. Kinachosumbua ni ajira lakini kazi zipo nyingi tu ( kwa tafsiri sisisi ya neno kazi). Tatizo vijana wengi wanasoma ili waajiriwe lakini mawazo ya kujiajiri wenyewe hawana. Kumbuka siku zote ukiajiriwa maana yake unatumikia wazo la mwajiri...
  4. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa ''Tazama Ramani'' ulitungwa na nani?

    Write your reply..Kumbukumbu zangu zinanionyesha kwamba wimbo wa Tanzania Tanzania ulitungwa ama alishiriki kwa kiasi kikubwa kuutunga hayati baba wa taifa Mwl. J.K.Nyerere.
  5. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania Kwanini maeneo haya yalipewa majina ya hivi?

    Write your reply...KIBAHA Ni jina la kibantu lenye maana ya "KIPO HAPA"
  6. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania Ujumbe ufike: Mchango wangu juu ya matumizi mabaya ya neno "Ameen "

    Write your reply...Ni kweli kabisa mkuu neno hili linatumika kwa mazoea tu na watumishi wengi makanisani lakini uhalisia wake haupo kabisa.
  7. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, hivi hii shule ndio wanasoma watoto wa wapiga kura wako?

    Write your reply...Mimi siamini mpaka nimeona wanafunzi wakiwa humo mabandani isije ikawa ni hujuma tu kwa serikali ya awamu ya 5
  8. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani cha thamani zaidi duniani?

    Write your reply...Cha thamani ni DAMU YA YESU TU
  9. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Jino kutoka kwenye mzizi wake, lakini cha ajabu ni kwamba sisikii maumivu yoyote

    Ahsante sana mkuu kwa ushauri wako, ngoja nijipange kuwaona madaktari kabla hali haijwa mbaya.
  10. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Jino kutoka kwenye mzizi wake, lakini cha ajabu ni kwamba sisikii maumivu yoyote

    Habari wana jf mimi nina tatizo la jino moja la mbele upande wa juu. Ni kwamba jino hili linalegea na kusogea kidogo kidogo kutoka kwenye mzizi wake, lakini cha ajabu ni kwamba sisikii maumivu yoyote hata wakati wa kula chakula ni zaidi ya miaka mitatu sasa tangu hali hii nianze kuihisi. Naomba...
  11. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania Mdudu ndani ya kokwa ya embe

    Nawaiteni walenga watungaji wa zamani Wenye ujuzi kutunga, mafumbo ya kila fani Kuna jambo lanitinga, mnitoe mashakani MDUDU KAINGIAJE NDANI YA KOKWA YA EMBE?
  12. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwateka mbwa wakali kwa papuchi

    WAKAKUPIME AKILI WEWE SIYO MZIMA.
  13. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania Faida ya kutumia juisi ya miwa

    MziziMkavu, Ahsante sana kwa kutuongezea na wengine ambao tulikuwa hatujui faida ya shalabati ya miwa. Ubarikiwe sana Mzizimkavu.
  14. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni genius niambie mistari hii adimu kabisa ipo kwenye kitabu gani kwenye biblia!

    Write your reply...Siyo biblia ninayoifahamu mimi yenye vitabu 66 labda nyinginezo za mashetani
  15. kyenjelakalulu

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Rais Magufuli hakuna sababu ya kuchangishana michango ya harusi!

    Write your reply...Hizi ni taratibu tulizojiwekea sisi wenyewe binadamu ndiyo maana tunaendelelea kuzifuata pamoja na usumbufu wote tunaoupata, angekuwa ni Mungu kaagiza hivyo sidhani kama tungekuwa tunazishikilia kiasi hicho. Ni rahisi kumtii shetani kuliko Mungu.
Back
Top Bottom