Pamoja na kwamba mbwa ni wakali sana, lakini ukiwajulia vizuri huwa hawasumbui hata kama uwe mgeni.
JINSI YA KUMLAINISHA MBWA NA KUMTEKA
Ukikutana na mbwa kwa mara ya kwanza USIPANIKI (relax). Ni vyema ukamuangalia mbwa direct machoni bila kumwogopa ili kufanikisha zoezi la utekaji kwa urahisi zaidi.
Mbinu hii inafanya kazi kwa mbwa yeyote hata wale wenye mafunzo maalum hawawezi kukusumbua.
Tumia mazingira yaliyopo kumwaminisha wewe si mtu mbaya. Mbwa ana akili ya saikolojia ya juu kutambua adui: Unapopaniki Adrenali gland inamwaga insulin na mtu kuonekana ana jaziba kiasi kwamba mbwa hutambua kwa haraka wewe ni adui.
Epuka kupaka marashi na perfume unapotaka kukutana na mbwa mgeni, baadhi ya marashi ni vichocheo vikali vya hasira za mbwa.
Unapokatiza kwenye kundi la mbwa Wa kawaida wee minya ma*umbu tu, hii humfanya MTU again confidence na aonekate mtu mwema kwasababu mbwa anahisi mshituko Wa mtu nakuchukulia kwake ni VITA usipopaniki ni ishara ya AMANI.
Ukitaka mbwa akuzoe haraka mpapase kwa kumtomasa mgongoni hasa maeneo ya mabega na shingoni (mbwa dume usithubutu kugusa nyuma wallah utang'atwa)
Tumia ute wa Mbwa jike kipindi cha hit (siku zao hutoa maji ukeni) jipake mkononi halafu jipitishe nje ya geti la mbwa dume, ile harufu ya papuch ya mbwa jike itamfikia yule mbwa dume umbali hata wa mita 100, yule mbwa dume akisikia harufu hiyo huweza hata kukata mnyororo akizani nii mbwa jike, ndipo hapo huifuatilia harufu hadi akifika unamkamata nakuondoka nae kama wako.