Recent content by kyeli

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanawake hamuwezi jambo hili?

    Ni mtazamo pia wa wanaume... wakitongozwa na wanawake wengi hawakubali na kumwona kama mwanamke ni muhuni.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    Umenena vema sana na umemaliza,
  3. K

    JamiiForums Tanzania Napenda ngono kupita maelezo

    Ukitambua tatizo ni kama nusu yake umeshaanza kulitatua tatizo, jitahidi kufanya mazoezi, kusali na ukiweza waone washauri (counsellers) watakusaidia sana.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mwanamke unaanzaje anzaje kumuachia HOUSEGIRL afue BOXER ya mmeo..

    Mmmh! hiyo ya kumuachia dada kufua boxer ya mume sasa kali.
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake kujilinganisha na wanaume ni sign ya low self esteem

    Umenena professional zaidi, mie nimekupata vizuri sana.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Love connect Party

    Ha haaaa aaa! nyie mnachekesha kweli.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wasichana wa humu JF hawaeleweki na hawako serious ktk mahusiano.

    Pole sana ndugu, jamani kama haupo serious kwa nn unaanza kum pm mtu na umeona kabisa kqenye status ameeleza anachotaka? guys tupunguzeni utani.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi humu ndani

    Ha haaaaa aaaaa, asante mkuu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi humu ndani

    Asante kwa ufafanuzi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyetayari kwa ndoa

    Hi, mimi pia ni mwajiriwa serikalini, naishi Dar ni mkristo, mweusi, mnene kiasi, sio mref wala mfup sn niko size ya kati na nna miaka 35. I need a husband seriously.
  11. K

    JamiiForums Tanzania nipokeeni

    Krb mgeni mwenzangu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye miaka 30-40 anatakiwa

    Umri unaohitaji ninao na nnafanya kazi, but ni mweusi, kwa hiyo nimekukosa?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwenza wa Maisha

    Utafanikiwa tu, all the best
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ladies, Unaweza Kumpigia goti Mume Wako openly?

    Ha haaaa aaa, kwa kweli hata mie siwezi mpigia mume wangu magoti. But kama umezoea kufanya hivyo its ok.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wema, kajala watinga gerezani,wamliza papii kocha.

    Safi sana, hongereni kwa utu.
Back
Top Bottom