Recent content by kyarluta

  1. kyarluta

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kagera: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Kyerwa usipime
  2. kyarluta

    JamiiForums Tanzania GE2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

    Hivi ni rahisi kujua aliyekhpigia kura?
  3. kyarluta

    JamiiForums Tanzania Kumbe binadamu si lolote katika ulimwengu huu!?

    Tafadhali fuatilia post hii halafu ujifanyie evaluation we mwenyewe. Karibu
  4. kyarluta

    JamiiForums Tanzania Ni kweli baadhi ya vitambulisho vya NIDA havitambuliki?

    Ni muda umepita kidogo tangu niende kupokea mzigo wangu kwa huduma ya EMS pale Bukoba. Ofisa niliyemkuta zamu alishtuka alipoona kitambulisho changu cha NIDA. Cha kwangu ni kati ya vitambulisho vya mwanzo kabisa ambavyo saini yake haionekani. Kwa mujibu wa ofisa huyo, ofisi yao ina waraka...
  5. kyarluta

    JamiiForums Tanzania Corona imetuepusha na magonjwa ya mlipuko

    Leo nimeongea na rafiki yangu ambaye ni daktari. Yuko wilaya ya Bukombe na anamiliki hospitali. Katika kipindi chote cha Corona, hospitali yake haijawahi kupokea mgonjwa mwenye viashiria vya korona. Kule kwa korona haipo. Ametoa ushuhuda kwamba, utaratibu wa kunawa mikono Mara kwa mara...
  6. kyarluta

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kusipokuwa na uchaguzi wa kuchagua Rais kuna haja ya kufanya uchaguzi?

    Nimeipenda hii para - Lakini najiuliza kama Magufuli wanataka apite bila ya kupingwa, je kutakuwa na haja ya kufanya uchaguzi kuwachagua wabunge na madiwani? Kama kuna ulazima wa kuwepo kwa uchaguzi huo kigezo kitakuwa ni nini? Je, Madiwani na wabunge hakuna cha kutukuka walichofanya kuwafanya...
  7. kyarluta

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Tutamkumbuka daima Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kyarluta

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa wauza maziwa wa Chato stendi

    13 Februari 2018 saa 22:51 Maajabu: MKOJO SIO UCHAFU NI DAWA: BABA wa watoto wawili amefichua kwamba hunywa glasi ya mkojo wake mwenyewe kila siku na anausifu kwa kumwezesha kupunguza uzito kwa kilo 50. Kwa kipindi cha miaka sita iliyopita, Dave Murphy (54) mkazi wa Basildon, Essex nchini...
  9. kyarluta

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa wauza maziwa wa Chato stendi

    Bila shaka hii ni changamoto kwa Afisa wa afya/Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato. Kwenye Hii biashara ana wajibu wa kuifuatilia na kuiboresha. Bila shaka amesikia maoni ya wadau hasa kwenye vifungashio. Product iko poa. Yako makampuni mengi yanatengeneza chupa za plastic size mbalimbali. Hii...
  10. kyarluta

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa wauza maziwa wa Chato stendi

    Nawapongeza akina mama na vijana wajasiriamali wa stendi ya Chato. Napongeza hasa wale wanaouza maziwa. Ni hivi majuzi 19/4/2020, nilipita na basi Fikosh nikitokea Mwanza kuelekea Bukoba, muda wa saa 6 mchana. Nilishawishika kununua maziwa ya mgando baada ya kuwa na hamu nayo. Yalikuwa yako...
  11. kyarluta

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

    Usisahau barakoa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kyarluta

    JamiiForums Tanzania Hatari ya kusambaa Coronavirus: Mashine za kutolea fedha (ATM Machines) zimulikwe kwani zinaweza kuchangia sana kusambaa kwa ugonjwa huu

    Nimeona CRDB Bukoba mjini wameweka vitakasa mikono tangu juzi. HONGERA Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kyarluta

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

    Haa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom