Recent content by Kyara Atufigwe

  1. Kyara Atufigwe

    Dkt. Bashiru, mwenye macho haambiwi tazama

    Amegeuka kuwa square peg in a round hole. Aweke wazi tu azma yake ya kujitoa.
  2. Kyara Atufigwe

    Dkt. Bashiru, mwenye macho haambiwi tazama

    Wakati wa Utawala wa Serikali ya awamu ya Tano, Dr Bashiru Ally ulikuwa Kiongozi Mwandamizi wa Chama na baadaye kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Ni imani yangu kuwa ulikuwa miongoni mwa washauri wakuu wa Serikali ya Hayati Magufuli. Sehemu ya Ushauri wako ilipelekea Wakulima wadogo wadogo kuwa na...
  3. Kyara Atufigwe

    Nahitaji Msaada wa Mawasiliano ya TCRA

    Habari wana jamvi, Kwa muda sasa kumekuwa na kelele nyingi za wizi unaofanywa na mitandao ya simu, kuanzia kwenye vifurushi hadi salio la kawaida. Jambo la kushangaza, Mamlaka ya mawasiliano wenyewe wapo kimya kana kwamba hili haliwahusu. Hebu tusaidiane hapa namna ya kuwafikia TCRA ili raia...
  4. Kyara Atufigwe

    Anthony Mtaka: Ni bora uache kazi kuliko kupata uhamisho kwenye mkoa wa Njombe

    Kwenye mfumo wa maombi ya ajira huwa wanaweka mkoa, wilaya, hadi shule zenye uhitaji ili mwombaji aombe. Jambo la kushangaza wahusika wanaoketi kufanya selection wanawachagua waombaji na kuwapeleka nje ya maeneo waliyoomba. Hii sio kwa mijini tu, hata huko vijijini. Almost wote waliopata ajira...
  5. Kyara Atufigwe

    Nini kinaendelea kwenye mbolea ya ruzuku?

    Ni jambo jema. Ni vema baada ya hatua hii Wizara iharakishe mchakato ili kuuwahi msimu wa kilimo
  6. Kyara Atufigwe

    Nini kinaendelea kwenye mbolea ya ruzuku?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  7. Kyara Atufigwe

    Nini kinaendelea kwenye mbolea ya ruzuku?

    Habari wana jamvi, Ni muda sasa umepita tangu Wizara ya Kilimo kupitia kwa Mhe Waziri Bashe kutangaza bei mpya ya mbolea nchini. Tuliambiwa kuwa Bei hizo elekezi zitaanza kutumika kuanzia August 15. Binafsi nmefurahia sana hatua hii na natamani tufanikiwe kwenye hili. Wadau tupeane mrejesho...
  8. Kyara Atufigwe

    Mbolea ya ruzuku: Siku nne zimepita sasa, nini kinaendelea?

    Tukifeli na hili nitaamini nchi hii kwenye utekelezaji wa sera mipango tulirogwa.
  9. Kyara Atufigwe

    Mbolea ya ruzuku: Siku nne zimepita sasa, nini kinaendelea?

    Bashe akishindwa kulisimamia hili litampoteza kisiasa.
  10. Kyara Atufigwe

    Mbolea ya ruzuku: Siku nne zimepita sasa, nini kinaendelea?

    Hodi wana jamvi, Serikali ya JMT kupitia Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe ilitangaza kuwa kuanzia August 15 2022, ruzuku kwenye mbolea itaanza rasmi. Siku 4 zimepita sasa, wajameni nini kinaendelea? Mbolea ya ruzuku imeshaanza kuuzwa au? Naomba tujulishane ili wadau wa kilimo tuingie...
  11. Kyara Atufigwe

    SGR na mustakabali wa uchumi wa taifa letu

    SGR ni ufupisho wa maneno ya lugha ya kiingereza ambayo ni Standard Gauge Railway. Hii ni reli ya kisasa ambayo ina upana wa sentimeta 1,435, inayotumika katika mataifa mengi duniani kwa zaidi ya 55% na kuachana na mfumo uliopitwa na wakati wa reli ya geji ya mita moja (One Meter gauge). Reli...
Back
Top Bottom