Nahitaji Msaada wa Mawasiliano ya TCRA

Nahitaji Msaada wa Mawasiliano ya TCRA

Kyara Atufigwe

Senior Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
120
Reaction score
68
Habari wana jamvi,
Kwa muda sasa kumekuwa na kelele nyingi za wizi unaofanywa na mitandao ya simu, kuanzia kwenye vifurushi hadi salio la kawaida.

Jambo la kushangaza, Mamlaka ya mawasiliano wenyewe wapo kimya kana kwamba hili haliwahusu.

Hebu tusaidiane hapa namna ya kuwafikia TCRA ili raia wa kawaida aweze kuwafikia na kuwasilisha kero yake.
 
Back
Top Bottom