Recent content by kyando12

  1. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nataka kuhamia DAR Jiji (Ilala) na siyo handeni.
  2. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO TEMEKE, NIJE ILALA ( DAR JIJI). IDARA- SEKONDARI.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Adhabu za viboko zifutwe mashuleni: Hoja kwa wizara ya Elimu

    Vipi lakini, je ilisaidia?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kishkwambi Cha mwalimu

    Well said. Hakuna msomi anaedharau fani ya mwingine, otherwise ni mbabaishaji.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha kufundisha kunyoa.

    Kichwa Cha ndege John? [emoji1][emoji1][emoji1]
  6. K

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha kufundisha kunyoa.

    [emoji120][emoji120][emoji120]
  7. K

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha kufundisha kunyoa ( vinyozi)

    [emoji89][emoji120][emoji120][emoji120]
  8. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kibaha Mji nije Dar Jiji (Ilala Municipal). Idara- Sekondari
  9. K

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha kufundisha kunyoa ( vinyozi)

    Habari za leo ndugu. Natumai mu buheri wa afya. Wadau, naomba kujuzwa chuo Cha kufundisha kunyoa (vinyozi) kwa hapa Dar, kinapatikanaa sehemu gani, au kinaitwaje? Natumai mtanisaidia kwa hili. Karibuni.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha kufundisha kunyoa.

    Habari za leo ndugu, natumai mu buheri wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada. Naomba kujuzwa chuo kinachofundisha kunyoa (vinyozi) kwa hapa Dar. Nitashukuru nikipata huu msaada wadau.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

    Uko sahihi kabisa. Tunazo pande mbili za Tanzania. Tanzania bara na Tanzania visiwani.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada ufugaji wa nyuki

    Unapatikana wapi? Bei ya mzinga ni sh.ngapi?
  13. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Uuzaji Wa Flat Tv Na Subwoofer Aina Zote

    Weka picha na bei tafadhali. Hii kitu naitaka.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia Taifa - Desemba 8, 2021

    Soma tangazo, mbona linajieleza.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Business partners for Black soldiers fly production

    Toa elimu kidogo kuhusu huu mradi. Black soldiers fly ni nini, malighafi, mchakato wa uzalishaji, soko n.k. Nina imani wengi hatuujui huu mradi. Natanguliza shukrani mkuu.
Back
Top Bottom