Recent content by Kyambamasimbi

  1. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Hivi wauza bia huwa mnawauliza Wanamiaka mingapi kabla ya kuwauzia maana haiuzwi chini ya 18

    Huwa najaribu kuwaza kunamatangazo. Haya ya pombe mwisho huwa wanasema haiuzwi kwa waliochini ya miaka 18. Je ni kweli wahudumu huwa mnawauliza wateja wenu umri wao kabla ya kuwauzia bia??????
  2. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Anayepajua Mkundi mwisho Morogoro atupe ramani naskia Kuna Machimbo ya Dhahabu.

    Naombeni location wakuu kwa anayepajua
  3. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

    Kuna sky eclat, Faiza fox waje hapa
  4. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Duuuuu weee jamàaa noma umenikumbusha hao jamaa
  5. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Nawakumbuka wafuatao; 1. Elias Sultan Nzowa kutoka Boda ya wajanja Tunduma 2. Pido guy pido guy 3. Chacha Muhiriobaleeeeee 4. Mbughujo Mwasengo 5. Edward Kabamba kutoka Haidom Manyara 6. B 52 7. Mama pendo 8. Lawena Nsonda 9. Lenga Chapati 10. Paul Misalaba na wengineo
  6. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Nina record za uchambuzi wa Muziki wa dansi na manju wa Muziki Masoud Masoud lakini zinagoma kushare JF

    Anayehitaji sound creap za Manju wa Muziki Masoud Masoud anifahamishe nawezaji kuzipandisha hizi sound humu??
  7. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania KERO Mwekezaji mwenye leseni ya utafiti anatuzuia Wananchi kuchimba madini Kijiji cha Patamela, Wilaya ya Songwe

    Pole bwana hata sisi Malangamilo na Gepu tulifukuzwa mkuu saa hizo tuko Manyanyà
  8. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kwanini redio siku hizi zinafanya sana michezo ya kubeti? Je watu wanashinda?

    Sasa hivi Kila ukifungua redio wao hutangaza wa kubashiri kwa kutuma Hela kwenda studio. Najaribu kuwaza hivi unajuaje na namna wanavyoendesha hiyo michezo kwa sababu wewe unatuma tu hela halafu mtu aliyeko kule ndio afikirie akutumie ww sh.ngapi, Naona kama watu wanapigwa sana labda kama...
  9. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo yaanza kampeni ya kunywa maziwa shuleni Wilayani Rungwe

    Shule yangu ya kabembe wameisahau
  10. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Kila maadhimisho ya kitaifa huja tishio la Maandamano?

    Ifikie hatua tuheshimu serikali kwa nn inapotokea maadhimisho ya kitaifa uvurugaji hutokea kwa kuanzisha vuguvugu la Maandamano? Je ni mpango wa kuvuruga na kuua siku maalum za maadhimisho ya nchi yetu. Na hii mpaka lini? Kwa nn tusivipe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama nafasi ya kufanya...
  11. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Masoud Masoud: Madini ya Muziki

    Sikiliza Madini hayo ya Manju wa Muziki Masoud Masoud
  12. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Nimerudi! Kutoka Bamako hadi Makongolosi, Songwe

    Ndugu wanajf habari za siku nyingi nilipotea kidogo sasa nmerudi mapumzikoni kutoka Bamako ñchini Mali, bahati nzuri pia nmebahatika kumtembelea bibi yangu aliyeko Patamela Songwe kupitia Makongolosi, kwa ujumla huu mji watu hawalali ikifika saa moja jioni ndio biashara zinafunguliwa hasa za...
  13. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Nimefiatilia kampeni za upinzani hawana hoja, wanafanya comedy tu.

    Habari wanajf.kwa kweli nmeona wengi wanafanya vichekesho hawana hoja za msingi kuwashawishi raia za kuweza kuitoa CCM madarakani.
Back
Top Bottom