Recent content by kwini

  1. K

    Picha: Huyu ndiye mke wa Ali Kiba

    Mrembo sana tena inaonyesha ana busara
  2. K

    Kibali cha kuwinda wanyama kinatolewaje?

    Mwajuma mchawi rudi banaaa...leo nimejiandaa kucheka! Jana ulinisapraiz....uzi wako mh...had pdidy kawa mpolee...
  3. K

    Kibali cha kuwinda wanyama kinatolewaje?

    Du...kweli mwajuma mchawi ni mbunifu. Umebuni kitu cha kuchekesha na kuprovoku watu.na umefanikiwa mn kuna watu wameshaprovokika na wengine tumechekaje! Big up.
  4. K

    Graduates, ni vizuri mngesoma kozi fupi ziwasaidie kujiajiri huku mkisubiri Ajira

    Ha haa.. kweli...hapo kwenye uniform ndo mtihan kdg
  5. K

    Mambo machache ya kushangaza kuhusu Nabii Eliya Mungu wa Majeshi

    Majanga haya jamani...! Wapendwa tujihadhari sana na hasa watu wanaojipachika majina ukiwachunguza ni hatari sana...kujiita "mzee wa yesu" ndo nini sasa.
  6. K

    Angalizo Kwa wanamaombi Kwa Katiba

    Uko sahihi mkuu.mara nyingi walokole tunajitoa ufahamu kabisaa...hata kufikia hatua ya kufanya maombi yasiyo na mwelekeo au ya kinafiki.Mungu atusaidie sana
  7. K

    Kusoma Shahada ya uzamivu bila kusoma uzamili

    Ha haa!inatosha mkuu, hii tayari ni overdoze
  8. K

    Kusoma Shahada ya uzamivu bila kusoma uzamili

    Ama kweli we ni sumu...anyway haikuwa lazima ujibu km huna mwanga.
  9. K

    Kusoma Shahada ya uzamivu bila kusoma uzamili

    Ndugu wanajamvi naomba kuelimishwa kidogo kupitia swali lifuatalo: Kuna uwezekano wa mtu kufanya Phd bila kupitia Masters? Na kama jibu ni ndio ni katika mazingira gani hasa? Nauliza hivi sababu nilisoma juzi kwenye gazeti Grace Mugabe yuko mbioni kufanya shahada ya uzamivu akiwa na shahada...
  10. K

    Nimepata gari ya laki mbili

    Utata mtupu!
  11. K

    TANZIA Nkwabi Ng'wanakilala afariki dunia

    Polen wafiwa.Mungu awape faraja yake
  12. K

    Mwimbaji wa nyimbo za injili Debora John Said afariki dunia

    Mwanamuziki wa nyimbo za injili mama mchungaji Debora John Said amefariki dunia.Sina taarifa ya kutosha ila nimesikia tangazo hili radio Wapo mchana huu bila maelezo zaidi kama lini amefariki na kwa tatizo gani.Yeyote mwenye taarifa zaidi atujuze. Mungu awatie nguvu familia yake na waumini...
  13. K

    Natafuta soko la asali na nta

    Asante kwa ushauri.
  14. K

    Natafuta soko la asali na nta

    Yes am serious.nyuki wakubwa ila bado nakusanya mzigo kupitia vijana wangu Tabora nitajua baadae kidogo kuhusu jumla ya tani na bei baada ya kujua gharama za usafiri pia.asante kwa ushirikiano.
Back
Top Bottom