habari wadau !
Jamani hivi nafasi walizotangaza CRDB mwezi wa tisa wameshachukua watu,mwenye taarifa atujulishe manake mimi ni mmoja ya watu niliotuma maombi crdb.
kigezo cha kuita watu kwenye interview ni ufaulu,
baada ya hapo sasa ni kupima utendaji na muonekano,
tusivunjane moyo wadau,mwenye information za kutosha aweke wazi!
Na kwa walioko mikoani application zote mpaka ziende azikiwe,sababu nafahamu zonal office nao hua wanaajili,
manake mi niko kijijini kwa wazee nakusanya nguvu ya kukaa mjini nikiendelea kuapply'
Nimebahatika kupata mtaji wa 1,000,00
nina mpango wa kufanya biashara,ninapenda biashara ya kuuza na kununua mara moja sio ya kuwa sehemu moja,mwenye ujuzi na biashara naomba ushauri,
nawakilisha!
Ndugu zangu ni kawaida imezoeleka kwa CRDB kuajiri nafasi za bank officer katikati ya mwaka yaani mwezi july, na hii inakuwa katika zonal office, mfano last year nikiwa 2nd year.
Nimejaribu kufuatilia kama mwaka huu wameshaajili lakini sijapata information za kutosha,mwenye kujua anifahamishe...
Wadau.
TANESCO jana wametangaza nafasi za kazi kupitia gazeti la Daily News, sijabahatika kulipata hilo gazeti, mwenye taarifa aweke link tafadhari, au taarifa zaidi.
Nawasilisha.
mh Ndassa ni chaguo la watu,
jimboni anasifika kama injini ya maendeleo,amefanikiwa sana kuwakomboa wananchi sekta ya afya,elimu,na miundombinu kwa ujumla,
ifike mahali watanzania tupongezane kwa mazuri yanayoonekana na kusaidiana kuondoa kero zilizopo,na sio kukaa na na kujadili maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.