Ila alivyokuwa kijana alikuwa Handsome! Hi hi hi hiiii (MABINA STYLE)
Mbunge amekaa madarakani miaka zaidi ya ishirini, bado ana hoja za posho kweli akili mgando, angekuwa na akili kama za Mengi kama kweli kuna ulaji kipindi kimoja tu tosha, na ndani ya miaka hiyo ishirini angeshakuwa mbali kiuchumi na kuacha mambo ya kuwazia posho. disgusting
Unaongea tu kama mwehu. Mrema kanukuliwa hadharani akiwaponda wanaotaka nyongeza ya posho. Sasa wewe source yako ni ipi?
zitto hataki posho wakati mama yake anapokea
Anakubaluka kwa wananchi au kwa tume ya uchaguzi?