Recent content by kweta

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Kesho chenge akihamia CDM, wanaweza kutuambia hajawahi kuchukua hata senti moja ya nchi hii, eti kwa kuwa hajashitakiwa na wanaeza kuwa tayari kumfanya PM. These guys can't be trusted. Naanza kufikiria upya juu ya nani nimpe kura yangu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

    Hao vijana ni bavicha dawa yao inachemka watakaa tu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

    Mlisema waende field waache siasa za mtandaoni, sasa wapo field mnaanza kumbwela mtakubali tu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

    Moyoni unakubali kiaina, na bado, dawa itakuingia tu. Weka maneno ya akiba huu ni moto wa pumba.
  5. K

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo watafanya Mkutano mkubwa leo Songea

    Kama ANC, ODM au conservative tatizo lenu mnakurupuka tu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo watafanya Mkutano mkubwa leo Songea

    Mtamaliza maneno yote mwaka huu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo watafanya Mkutano mkubwa leo Songea

    Mtamaliza maneno yote mwaka huu, forward ever backward never. Lazima mkae, chadomo hamkosi visingizio nyie tu ndo huwa mnapata watu, ha ha ha.
  8. K

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo watafanya Mkutano mkubwa leo Songea

    Hamna wema nyie, kila kitu kibaya kwenu, mlisema hapatakuwa na watu, wamejitokeza mnaanza maneno maneno, jipangeni, ACT moto wa pumba kanyaga uungue.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Jaji Joseph Sinde Warioba ajiunga ACT-Wazalendo

    Mkuu tatizo la bavicha hata hesabu ndogo kwao tatizo, wanadhani unaweza kupata 100 bila kuanza na 1.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ziara za ACT - Wazalendo kutikisa nchi

    Ha ha ha, chadema kupitia ukawa, so mmejificha kwenye kivuli cha ukawa. Sijui CUF , NCCR na NLD wanajionaje wakiona ubinafsi wenu huu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dhana ya USALITI ndani ya CHADEMA na Hatma ya Demokrasia ndani ya vyama vya Siasa

    Mkuu jiangalie nawe utaitwa msaliti, unaanzisha chama kipya ndani ya chama, cahadema ndo nini? Kimesajiliwa hiki chama? Subiri wenye chama Chao waone, unafukuzwa uanachama.
  12. K

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo yazidi kupata wananachama toka CHADEMA

    Kwa akili ya kawaida tu, huyu ni Bavicha anajaribu kuudanya umma. Next time try to use your brain properly.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Poll: ACT-Tanzania VS CHADEMA. Nani zaidi?

    Act moto wa gesi acha kabisaaaaa.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Vyama pinzani vijiandae leo ndio mwanzo wa anguko lao.

    That's true, a lady is doing simple politics.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Majina ya wagombea wa nafasi za uongozi Taifa ACT- Tanzania

    Kweli kabisa mkuu.
Back
Top Bottom